tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
Vyombo vyote vya usafiri kasoro milango ya magari binafsi vina namna ya kufungua mlango kwa nje lakini iko kitaalam sana. Pengine shujaa aliweza kusoma maelezo ya namna ya kufunguaMilango ya ndege inaweza kufunguliwa Kwa nje pia. Siku nenda hata airport uulize maswali utapata upeo kidogo.