Bravo320
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 401
- 309
Huwezi kufungua mlango wa Ndege kwa kupiga na eti Kasia, never, hata wa gari tu huwezi kupiga na kasia ukafunguka,. Mlango ulifunguliwa na wafanyakazi wa Ndege, sema majaliwa alikuwa Kati ya watu wa Kwanza kufika pale, na kusaidia watu wengine kutoka ndani ya Ndege. Na wakina majaliwa walipofika pale, walikuta tayari kuna watu walikuwa nje, Shuhuda anaeleza.