Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

Dogo hakufungua mlango Bali alivunja!
Punguzeni kelele basi
Imagine....

Suala la Dogo linawasumbua watu jamani...

Nimesikiliza Maelezo ya yule Mfanyakazi wa MDH aliyepona kwenye hiyo Ajali...Nimemuelewa vyema sana..
 
Ukweli ni kuwa ruban aliufungua mlango wa emergency thus why dogo ilikuwa easy kuufungua
Emergency aliufunguaje? Umewahi kupanda ndege?? Ndege za abiria zote huwezi fungua mlango zikiwa angani, yaan ndege zote unazoona ww duniani, ni ndege za Jeshi tu ndio zimeundwa uwezo wa kufungua mlango ingali mko angani.

Mlango wamefungua wahudumu wa kwenye ndege, ukimsikia yule jamaa na dada walionusurika wote wamesema wahudumu ndio waliofungua milango.
 
Mkuu maana yangu umeielewa kweli , nimesema mlango wa emergency ulifunguliwa na ruban , inaweza kuwa sio ruban akawa mhudumu wa ndege ,nachomanisha ninkuwa umefunguliwa Kwa ndani , pengine dogo hakujua hlo...sasa naona umenishukia kama mwewe
 
Kumbe story, mnaweza kuisikiliza wote, ila huyu akaelewa hivi na huyu hivi, mimi nilivyo muelewa, yule manusura hakujiokoa kupitia mlango wa dharula uliokua unafunguliwa na muhumu.

Maelezo ya yule manusura, ni kuwa, alimuona muhudumu wa ndege, akihangaika kufungua mlango wa dharula, ila hujui kama alifanikiwa, kwa maalezo haya, kuwa yeye hakupitia mlango, uliokua ukifunguliwa na muhudumu.
Acha bangi wewe, wahudumu wawili kila mmoja akifungu mlango wake ili abiria watoke mule ndani, abiria wametoka nje na hakukuwa na mtu yeyote wala boti au mtumbwi wowote, wakawa wanaogopa kujirusha kwenye maji ndio watu wakaja na mitumbwi yao.
Nenda kasikilize ile clip
 
Kweli unachosema mkuu yule majeruhi wa kwanza kuhojiwa ukimsikiliza mpaka mwisho na ukirudi kumsikiliza majaliwa unaona kabisa mlango ulifunguliwa na watu wa ndani majaliwa aliwakuta katika harakati hizo na yeye akahesabika kafungua.
Ila hata kama ndivyo ilivyokuwa bado Dogo anabaki na credit.

Kuwepo eneo la tukio mapema, kushiriki kutafuta namna ya kusaidia inatosha sana tu.

Ila kama yapo anayoongeza chumvi ni vema ashauriwe aache kufanya hivyo.
 
wewe ndio utulize kichwa,unadhani ni jambo jepesi mtu kufungua mlango wa ndege ndani ya maji bila msaada kutoka nje???
We ni kichaa, aliyekuambia kuwa milango ya nyuma ilikuwa kwenye maji ni nani? We ni mwehu na hujui lolote, abiria wote wametokea milango ya nyuma na haikugusa maji.
 
Mkuu maana yangu umeielewa kweli , nimesema mlango wa emergency ulifunguliwa na ruban , inaweza kuwa sio ruban akawa mhudumu wa ndege ,nachomanisha ninkuwa umefunguliwa Kwa ndani , pengine dogo hakujua hlo...sasa naona umenishukia kama mwewe
Umemtaja rubani, ndio maana nimekushukia kama mwewe, sema Mhudumu.
 
Hili ni suala la kutumia common sense tu.

Iweje Chombo kinachobeba Abiria kukosa option ya kufungu mlango kwa nje?.
Mlango wa ndege kama huna uelewa huwezi kufungua hata uwe ndani, kama hujapanda Ndege huwezi nielewa hapa.

Yule dogo hajafungua mlango wala nini, Serikali wamechukulia timing ya ujinga wetu wa kutohoji.

Kwa tuliowahi kupanda ndege tunaelewa yule dogo amepangwa kama tu ile ya idadi ya Majeruhi kuwa 26 na Maiti kuwa 19.
 
Mlango wa ndege kufunguliwa kwa nje,
tena kuvunjwa kwa kutumia kasia. Isitoshe ndege ilikuwa ndani ya maji.

Ni jinsi gani unaweza kupiga mlango mpaka ufunguke na ni ndani ya maji?

Mimi sikatai ila najaribu kuangalia ugumu uliopo.
Unafunguka kwa nje ila siyo kwa kuupiga, ipo handle yake
 
Punguzeni ujuaji. Dogo anasema baada ya kuupiga ule mlango kwa kasia ukafunguka, akaokoa baadhi ya watu then akazama majini akaenda kwa rubani. Rubani akampa maelekezo ya ulipo mlango wa dharura ambao ndio waloufunga kamba inayovutika.
 
Back
Top Bottom