Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

Ile ajali ya ndege kule Bukoba inamtaja kijana Majaliwa kama ni shujaa kuliko taasisi zote za serikali zilizojishuhulisha na sakata lile.

Lakini najiuliza kama ni kweli majaliwa ndiye aliyefungua mlango wa ndege uliofungwa kwa ndani kwaajili ya usalama wa abiria ndege inapopaa, inapokuwa angani na hata inaposhuka, alitumia kifaa gani kufungua?
Tatizo watanzania wengi ni wajinga na wanadandia mambo kwa mbele.

Hakuna sentensi yeyote aliyotamkwa na Majaliwa kwamba alifungua mlango. Isipokuwa nasema alifika akakuta mlango haufunguki umejirock. Alipiga kasia lake kwa nje na mlango ukaweza kufunguliwa kwa ndani.

Tafuteni clip ya Majaliwa msikilize upya.

Wapotoshaji wakubwa ni wale wanasiasa walioshindwa kutimiza majukumu yao kwa wakati katika uokozi wanatafuta pa kujificha.
 
Back
Top Bottom