Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

Kuna nguchiro hata ndege hazijawahi kupanda zinashabikia kirahisi tu swala la mlango eti ulipigwa na kasia ukafunguka
 
Hata kwa nje unafunguliwa
Unaweza kufunguliwa kwa nje imiwa kama ilikuwa chini haijagua kuyoka angani, ikipaa na ikitua inakuwa na pressure ndogo ndani kwaiyo inaanzwa kutunguliwa vent ipo kwenye mlango ili pressure ya nje na ndani iwe sawa
 
Achana na Dogo Majaliwa ni muongo ni tapeli na sirikali ya sisiem imeamua kupotezea mambo ya msingi kwa kumtumia Majaliwa- mlango wa Ndege kafungua Mhudumu wa Ndege na pia kwenye Ndege kulikuwa Giza after crash (lkn dogo anakuambia aliwasiliana na pilot kwa ishara).... Dogo ni muongo Mkubwa

Acha zambi jamaa! Ivi inawezekana kweli hujaona msaada wa yule kijana kwenye ajali ile ya ndege??
 
Naomba kuuliza kwa wenye uelewa. Hivi mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje? Wajuzi wa mambo ya ndege tafadhali.
Tatizo hapa ni nini; kwamba mlango haukufunguka, au? Kama mlango ulifunguka whether kutoka nje au ndani, hiyo siyo issue sana. Issue hapa ni kwamba baada ya mlango kufunguka ni nini kilitokea, na nani alifanya nini
 
Tunaambiwa wahudumu wa ndege wote walikufa, wakati huohuo inasemwa wao ndo walifungua mlango! Hii inawezekanaje ufungue mlango halafu usitoke watoke wengine hadi wewe ufe!! Labda ithibitike kuwa hawakufa nao waliokolewa ndo italeta mantiki zaidi.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Tunaambiwa wahudumu wa ndege wote walikufa, wakati huohuo inasemwa wao ndo walifungua mlango! Hii inawezekanaje ufungue mlango halafu usitoke watoke wengine hadi wewe ufe!! Labda ithibitike kuwa hawakufa nao waliokolewa ndo italeta mantiki zaidi.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ndio maana nasema sasa hivi jamii forums imejaa wajinga wengi sana.

Nani alikuambia wahudumu walikufa? Toka siku ya kwanza taarifa ilitoka kuwa wahudumu walitoka salama
 
Unaweza kufunguliwa kwa nje imiwa kama ilikuwa chini haijagua kuyoka angani, ikipaa na ikitua inakuwa na pressure ndogo ndani kwaiyo inaanzwa kutunguliwa vent ipo kwenye mlango ili pressure ya nje na ndani iwe sawa
Inawezekana wahudumu waliweza ku unlock mlango kwa ndani, lakini kutokana na pressure ya ndani ulishindikana kupush, labda ndio Majaliwa akatoa msaada na ukaweza kufunguka
 
Umewahi kupanda ndege?? Unaweza kuvunja mlango wa ndege kwa kutumia kipande cha mti??
kwahiyo hoja yako ni ipi arudishe ela kuwa hakufanya lolote au hakuvunja mlango arudishe ela alizopewa ? jikite kwenye nia yako
 
Ccm Wanasonya Na Kutema Mate Kando, Comment Chachu Kama Ndimu
ukosefu wa ajira ndo chanzo mawazo yanayopelekea upunguf wa nguv za kiume na hatimaye unakuwa chakulaa ya wenye mawe unabakia mipasho tu kwa wenye nyota zao , sio ccm ila ni upumbav kusema 25 waliokolewa sio kwa mchango wa majaliwa kisa Malango wa ndege hauwev funguliwa kwa nje wkt ushaambiwa ndege ilipata ajali hlf unatumia scenario ya ndege ikiwa nzima
 
Milango ya ndege hutumia Mannually mzee. Tuliza kichwa hiko utagundua dogo ni fix tu
ukosef wa ajira unawafanya mnakuwa wapinza kweny kila kitu , ndege ilipata ajari elewa tu hapo inatosha kuelewa kuwa huenda hata mlango ulikuwa loose , huenda na elimu yako huez pembua vitu unaweka siasa kweny kila kitu , GARI limepata ajari mtu anavuta mlango unatoka je kweny real sense unaeza fanya ivyo gari likiwa normal
 
Mlango wa ndege kufunguliwa kwa nje,
tena kuvunjwa kwa kutumia kasia. Isitoshe ndege ilikuwa ndani ya maji.

Ni jinsi gani unaweza kupiga mlango mpaka ufunguke na ni ndani ya maji?

Mimi sikatai ila najaribu kuangalia ugumu uliopo.
Swali limeulizwa uwezekano wa kufungua mlango wa ndege kwa nje hakuna ambapo mleta thread kasema ndege ikiwa kwenye maji au kwa mlango kupigwa kasia
 
Mimi suala la dogo kuwa kafungua mlango haliniingii akilini maana ni ngumu kwa nje kufungua
hapa tunaona walioferi Math , akili inashindwa elewa kitu kdg tu ndege ilicrash na hata picha ya mwisho inaonesha vipande vi2 sasa mnatumia scenario ya ndege ikiwa normal
 
Back
Top Bottom