Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

Pia liangalie la airhostess kuelekeza mlango ulipo wa dharura kisha kuufungua na bado ripoti inaeleza wahudumu wote wamepoteza maisha
sasa hao 26 uliwaokoa wewe ? wabongo ni watu wa ajab sana wakimilik smartphone na ukichaa unaanzia hapo
 
Kwanza vumbi tu la udongo na maji yale ya Ziwani aliwezaje kuonana na Pilot? Ukizingatia tukio limetokea punde...
Duh ziwa la wap hilo lina vumbi na udongo ? mbongo akimilik smartphone bas anakuwa kichaa ghafla nimekulia hapo ingawaje huyo dogo simjui maana sikuwa local class , ila naamin dogo hata kama hajafungua mlango ila kafanya kitu kuokoa roho 26 ungemuona wa maana kama mzaz au ndug yako angekuwa miongon hao manusura , Hajapewa shukran kwa kufungua mlango kapewa heshima kwa kuokoa robo 26
 
Swali la kujiuliza ni je ndege ikiwa imepaki kias kwamba lila mtu hayumo kashuka wamesepa zao kulala marubani wanaporudi kwenye ndege mlango unafunguliwaje ,alafu dogo maja yeye alisema alivunja mlango hakufungua bali alivunja je leo hatujui tofaut ya kufungua na kuvunja kweli au ajenda ni nini hapa
 
Duh ziwa la wap hilo lina vumbi na udongo ? mbongo akimilik smartphone bas anakuwa kichaa ghafla nimekulia hapo ingawaje huyo dogo simjui maana sikuwa local class , ila naamin dogo hata kama hajafungua mlango ila kafanya kitu kuokoa roho 26 ungemuona wa maana kama mzaz au ndug yako angekuwa miongon hao manusura , Hajapewa shukran kwa kufungua mlango kapewa heshima kwa kuokoa robo 26
Nilitaka nikujibu kwa kutumia lugha kali ila nimekustahi
 
Ile ajali ya ndege kule Bukoba inamtaja kijana Majaliwa kama ni shujaa kuliko taasisi zote za serikali zilizojishuhulisha na sakata lile.

Lakini najiuliza kama ni kweli majaliwa ndiye aliyefungua mlango wa ndege uliofungwa kwa ndani kwaajili ya usalama wa abiria ndege inapopaa, inapokuwa angani na hata inaposhuka, alitumia kifaa gani kufungua?
 
Mkuu amini nakwambia, pamoja na utajiri wote wa rasilimali tunaojisifia tumeshindwa kuzitumia KUJINUFAISHA kama taifa, hii yote kuonesha ni jinsi gani wanasiasa wanavyowachukulia wananchi kama MAZOMBI (Jamii isiyoiwajibisha serikali yake pale inapokosea) kwamba lolote watakalonena watanzania watabaki na HEWALAA.

Eti waziri mkuu na hekaya zake za uongo kuwaaminisha watanzania ujinga na upumbavu.

Professionally and in aviation prospective mlango wa ndege inawezekana vipi kufungunguliwa kwa nje?

Waziri mkuu ulipaswa na unapaswa ujiuzuru kwa hili la ajari ya ndege. Maafa mengi yametokea kipindi chako bila hatua stahiki kuchukuliwa. UNASWA UJIUZURU Prime minister Majaliwa
 
Ile ajali ya ndege kule Bukoba inamtaja kijana Majaliwa kama ni shujaa kuliko taasisi zote za serikali zilizojishuhulisha na sakata lile.

Lakini najiuliza kama ni kweli majaliwa ndiye aliyefungua mlango wa ndege uliofungwa kwa ndani kwaajili ya usalama wa abiria ndege inapopaa, inapokuwa angani na hata inaposhuka, alitumia kifaa gani kufungua?
Huyu kassim Majaliwa aliwahi kusema magufuli yuko ofisini anachapa kazi. Mlitaka atebee kariakoo au sijui wapi. Kumbe Jiwe yuko mortuary at -40C, Can that man be trusted again? Rubbish!
 
Aliweza kuufungua mlango wa mchongo kwa kutumia nguvu ya Script aliyopewa na ............. akishirikiana na ................. ili auongopee umma wa watanzania,
 
Ile ajali ya ndege kule Bukoba inamtaja kijana Majaliwa kama ni shujaa kuliko taasisi zote za serikali zilizojishuhulisha na sakata lile.

Lakini najiuliza kama ni kweli majaliwa ndiye aliyefungua mlango wa ndege uliofungwa kwa ndani kwaajili ya usalama wa abiria ndege inapopaa, inapokuwa angani na hata inaposhuka, alitumia kifaa gani kufungua?
JamiiForums-1303532332.jpg
 
Mkuu umefatilia lakini kama inawezekana kuufungua mlango kwa nje???

ATR 42 Door Lock
 
Back
Top Bottom