Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
NETFLIXVyombo vyote vya usafiri kasoro milango ya magari binafsi vina namna ya kufungua mlango kwa nje lakini iko kitaalam sana. Pengine shujaa aliweza kusoma maelezo ya namna ya kufungua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NETFLIXVyombo vyote vya usafiri kasoro milango ya magari binafsi vina namna ya kufungua mlango kwa nje lakini iko kitaalam sana. Pengine shujaa aliweza kusoma maelezo ya namna ya kufungua
Kwa Kadri nilivyowasikia majaaliwa na wenzake na pia manusura wa ajali ni kwamba walipokuwa wanagonga mlango kwa kasia walioko ndani walisikia kwamba kumbe huko nje kuna msaada tayari, hivyo aidha mhudumu au baadhi ya abiria wakaenda kwenye mlango na kuufungua lock yake kwa ndani na mlango ukafunguka. Kuna clip ya jamaa mmoja aliyekuwa anaenda kikazi Tabora ila ikabidi wapande hiyo ndege yenye ruti ya Mwanza lakini kupitia bukoba. Huyu jamaa anasema baada ya ku recover from the shock of the accident na kuona maji yameingia ndani ya ndege na yamemfika kiunoni akasikia mhudumu akiomba life jacket ili aende kufungua mlango (nadhani ndiyo huo mlango akina Majaliwa walikuwa wanagonga na kasia). Basi jamaa naye akaamua kwenda hapo mlangoni maana ilikuwa jirani, na ndiyo wakawa wa kwanza kutoka na kuokolewa.Milango yote ya ndege inafunguliwa kwa nje, lkn ikiwa tu waliofunga nao wako nje ya hiyo ndege. Mfano wakienda kulala ile ndege inaachwa milango wazi??, Jibu hapana, wanafunguaje wao, jibu kuna namna ya kufungua.
Kwa ishu ya dogo, pale tumepangwa, ndege ikifungwa milango yake, na wahusika wakiwa ndani yake ni ngumu kwa mtu wa nje na asiyejua lolote kuhusu ndege akaweza kufungua.
Mhudumu alifanikiwa kufungua huo mlango wa dharura na watu wakatoka.Najua milango ya dharula kwenye ndege, inakua pia nyuma karibu na mkia, Kwa majibu wa muhanga mmoja, andai, watu wa mbele, walifunikwa na maji ila pia alimuona mhudumu akihangaika kuufungua mlango wa dharula.
Ila hajui kama alifanikiwa.
Sahihi kabisasimple mbona wakati mhudumu anajaribu kufungua mango wa ndege at the sametime mahalia nae alikuwa ana hangaika kuufungua mlango huo huo hivyo ukajikuta umefunguka. ndo ilivyokuwa
Huwezi kuvunja mlango wa ndege kwa kasia mkuuDogo hakufungua mlango Bali alivunja!
Punguzeni kelele basi
Alikuwa na mtumbwi ambao alikuwa na wenzake 2 na yeye 3Hakuwa na boti na hana boti
Kwa hiyo akitokea chizi anaweza kuufungua ndege ikiwa angani?Milango ya ndege hutumia Mannually mzee. Tuliza kichwa hiko utagundua dogo ni fix tu
Wenzake na Majaliwa wanasema kweli mlango ulikuwa mgumu ndiyo wakafunga kamba na kuvuta ili ufunguke, ndiyo pale kamba ikampiga majaaliwa akazimia , sasa sijui hiyo kamba ilikuwa inavutwa na boti ya mashine au vipi.. Ni bahati mbaya kwamba mpaka leo hakuna mwandishi ambaye amepiga kambi kuchimbua tukio zima mwanzo mwisho.Kuna manusura alisema mudumu ndie aliyefungua mlango, hapa inawezekana mhudumu alifungua kitasa na aliyekua nje alifungua mlango, kwa aliyekua ndani ni dhahiri mlango ulikua mzito kutokana na presha ya maji, na muda huo pia akili za waliokua ndani ni tofauti na waliokua nje.
Alipiga mbizi na akiwa chini kupitia kioo cha ndege ni rahisi kumuona rubani..Kwanza vumbi tu la udongo na maji yale ya Ziwani aliwezaje kuonana na Pilot? Ukizingatia tukio limetokea punde...
Alikuwa na mtumbwi bwana ndiyo maana akawa na kasia. Sasa kama siyo kuwa na mtumbwi wangefikaje pale na lile kasia?Aisee sasa alifikaje kwenye ule mlango wa ndege
Hivi haya ma Bus yanayojifunga na kufungua milango unaweza kufungua kwa nje bila dereva kufungua?Hili ni suala la kutumia common sense tu.
Iweje Chombo kinachobeba Abiria kukosa option ya kufungu mlango kwa nje?.
Achana na Dogo Majaliwa ni muongo ni tapeli na sirikali ya sisiem imeamua kupotezea mambo ya msingi kwa kumtumia Majaliwa- mlango wa Ndege kafungua Mhudumu wa Ndege na pia kwenye Ndege kulikuwa Giza after crash (lkn dogo anakuambia aliwasiliana na pilot kwa ishara).... Dogo ni muongo Mkubwa
Inategemea na muundo.Naomba kuuliza kwa wenye uelewa. Hivi mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje? Wajuzi wa mambo ya ndege tafadhali.
Uongo hata uutetee vipi ,ukweli utadhihiriwewe umejuaje kulikuwa na giza mpaka ktk cockpit??
😁😁😁 Sawa tajiriAkili ya kimaskini sana hii. Haitakusaidia kitu...
Nimesikiliza story ule mlango ni mzito sana na ukitoa lock unauvuta kwa nje ndio maana kwenye ndege wanaokaa katika sehemu ya mlango wa dharura huwa unapewa maelekezo namna ya kuufungua na pia kuhakikisha anayekaa pale ana uwezo wa kufungua mlango kwa maana nguvu na uwezo wa kiakili sio kila mtu anakaa pale, ila ule mlango yule muhudumu na mchina waliweza kutoa lock ila kupush mlango sio kazi ndogo hasa ukichukulia pressure ya maji nje watu wa nje wanaweza kutumia nguvu kuvuta mlango sababu mlango unavutika kwa nje kama mlango wa kuingilia ndege ikifika wana unclock ndani muhudumu wakipewa ruhusa na wa nje kuwa ngazi iko fresh the wanauvuta nje kwa maana mlango unafunguliwa na watu wawili wa ndani na wa nje kiusalama zaidi sababu ukiwa huna hiyo system anaweza mtu kufungua mlango kumbe ngazi bado hazijakaa sawa kiusalama.Mlango wa ndege kufunguliwa kwa nje,
tena kuvunjwa kwa kutumia kasia. Isitoshe ndege ilikuwa ndani ya maji.
Ni jinsi gani unaweza kupiga mlango mpaka ufunguke na ni ndani ya maji?
Mimi sikatai ila najaribu kuangalia ugumu uliopo.
Wamefanikiwa kupotezea mambo muhimu kwa mambo ya kipuuziCcm Wanasonya Na Kutema Mate Kando, Comment Chachu Kama Ndimu
Umewahi kupanda mtumbwi? Unajua kasia lilivyo lakini?Umewahi kupanda ndege?? Unaweza kuvunja mlango wa ndege kwa kutumia kipande cha mti??