Mlete mzungu: Uzi wa picha za mzungu wa Simba kwenye pozi tofauti

Acha hizo neno mzungu siyo racist ni utani. Hicho kipengele cha racism hujakielewa vizuri. Fatilia jokes na racism. Jokes lengo ni kufurahi. Racism ni kuchukiza kwa kuonesha upendeleo, unyanyasaji au unyonyaji.
Fatilia vizuri mkuu.
Nadhani MAKOLO na ukoo wao wote wamekuelewa
 
Mzee baba uzi wako hauna wachangiaji umeamu kuusubscribe mwenyewe yani kama vile unajitekenya mwenyewe. Nimeona upo tuu nikasema niangalie kuna jipyaaa kumbe ni ww mwenyewe unausongesha duuu kumbe watu mnapenda umaarufu hahahaaa
 
Mikia maneno mseme nyie,wakisema wengine tayari ubaguzi. Mashabiki wa Yanga ni wastaraabu sana,ila nyie mikia mnapanic sana. Wenzenu wanatulia tuli mkitania kenge nyie.

Mfano mzuri ni wa Manara. Alivyokuwa mikiani aliwaponda Yanga mno,lakini mashabiki wa Yanga walitulia. Manara amehamia Yanga ndipo alipoonja joto ya jiwe. Wengi huko mikiani mmemwita majina ya kufedhehesha sana. Mmemwita mpaka kwa majina ya ulemavu wake kwa waziwazi. Sasa upi uko sawa kumwita Manara vile alivyo kwa kumdhalilisha,na huu utani mlete mzungu?
 
MAKOLo hawajui wanatafuta nini
 
Mzee baba uzi wako hauna wachangiaji umeamu kuusubscribe mwenyewe yani kama vile unajitekenya mwenyewe. Nimeona upo tuu nikasema niangalie kuna jipyaaa kumbe ni ww mwenyewe unausongesha duuu kumbe watu mnapenda umaarufu hahahaaa
Lazma tumpe umaarufu mzunguuuuuu [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…