MAKOLo wana panic kirahisi sanaMods sio ndugu zako.
Mbona hukemei manara anapoitwa sope, mzungu toleo la mwisho?
Unafki unakusumbua na team lenu.
Moderator hili ni soka hakuna ubaguzi wowote sababu jamaa ni mzungu kweli kwani uongo?
Acheni uzi wa huyo jamaa uendelee
Lete mzunguu [emoji23][emoji23]
Kuwa mpole ndio kwanza kumepambazukaI'm interested with no #5[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Best teacher is your mistakes
Nazani Simba wamejifunza hapa......baada ya kumsajili mdhunguuu dejani g[emoji23][emoji23][emoji23]
leta pichaa😂😂😂😂4 what reason ....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haitustui.
Haitustui.