Wakati wewe ulijua wenzio wanachukua hatua. Hujachelewa kuungana nao, bossnilijua tu ule utangulizi ni wa kuuza vitabu
nilishakwambia hayana mwongozo...
Unahitaji kujifunza nini haswa mama?Kinauzwa kiasi gani?
Unitumie
Nataka kujifunza kuhusu ujana na Ndoa 😜Unahitaji kujifunza nini haswa mama?
Hakuna ujanja ujanja boss. Wala hakuna motivation humo. Sikuandika kitabu kwa lengo. Ukweli ni kwamba hisia hisia tu na ujanja tu havikuwezeshi kutoboa katika life ya ndoaUjanja ujanja tu
Nimeweka bei reasonable ya tsh 10,000/- tu japo kiuhalisia kilipaswa kuwa bei juu zaidiKinauzwa kiasi gani?
Unitumie
seriously nijifunze mahusiano?Wakati wewe ulijua wenzio wanachukua hatua. Hujachelewa kuungana nao, boss
Hadi Mkoani kunitumia ni kiasi gani?Nimeweka bei reasonable ya tsh 10,000/- tu japo kiuhalisia kilipaswa kuwa bei juu zaidi
Itategemea na transporter. Sidhani kama itazidi elfu 5Hadi Mkoani kunitumia ni kiasi gani?
Au mko Mkoa gani niagize mtu anifatie.
That is ego bro. Nayo pia nimeiainisha kama reference toka kwa bwana mmoja aliyeandika kitabu kiitwacho Ego is the Enemyseriously nijifunze mahusiano?
Hahaha, ngoja niishie hapa nisijeonekana naipinga biashara yako, kila la kheri mkuuThat is ego bro. Nayo pia nimeiainisha kama reference toka kwa bwana mmoja aliyeandika kitabu kiitwacho Ego is the Enemy
Mbona mimi sijasema naishia hapa? Uko huru kusema chochote maadam huvunji sheria. Mimi nimekuwa huru kusema kuwa wewe una ujivuni, tena unaotaka kukuzidiHahaha, ngoja niishie hapa nisijeonekana naipinga biashara yako, kila la kheri mkuu
sina ujivuni mkuu, bado sioni sababu ya kufundishwa masuala ya hisia.Mbona mimi sijasema naishia hapa? Uko huru kusema chochote maadam huvunji sheria. Mimi nimekuwa huru kusema kuwa wewe una ujivuni, tena unaotaka kukuzidi
Umeongea jambo la msingi sana, kuwa ili muwe same page inabidi muelewe pamoja. Sio kwa kitabu hiki tu, bali hata pakiwepo semina za aina hii na wote mkasikia na kusikiliza. Inaongeza uzito zaidi.sina ujivuni mkuu, bado sioni sababu ya kufundishwa masuala ya hisia.
anyway hizo kanuni ni lazima mkae pamoja na mwenza wako mzisome au kila mtu anasoma kivyake, ili nikuthibitishie kuwa hayana mwongozo