Mliambiwa kuwa ujana ni maji ya moto? Sidhani. Soma kitabu hiki kujua kwa nini sio kweli

Hayanaga muongozo hayo,asili inafanya kazi kwa namna ya ajabu ili dunia iendelee kuwepo.

Ndio mana kuna wenye kupenda mishangazi,vibabu,vibinti vidogo,single maza,marioo n.k
 
Sasa mkuu ukikosa mwongozo kwenye eneo hilo jmarubusu hisia zikutawale ni wazi utafeli kwenye mengi mengine pia. Nidhamu ni muhimu sana katika eneo hilo
 
Back
Top Bottom