Mliambiwa lakini hamkusikia, sasa ni muda wa mavuno ya awali ya kile tulichopanda

ila wewe si ndio ulikuwa unapingana na jokajeusi kuhusu bikra anyway

mimi ni mmoja wa wanaume niliozaliwa kizazi hiki lakini role mode
zangu ni wazee wa zamani sio hawa kinamasanja na kina konde
hii ni baada ya kutambua dunia inahitaji misimamo na maamuzi magumu sio huu ujinga wa kujifanya unajua kucare sana
mifumo na misingi ya hii dunia ni utawala wa chuma sio demokrasia ni friction

Ninampinga jokajeusi Kwa sababu yeye hoja yake kuu NI hiyohiyo moja. Ya Ubikira. Hana hoja zingine.
Anafikir ubikra ndio Sifa pekee ya Kupata MKE Mwema.
 
Daaah mwamba umenigusa sana, nimesafiri kikazi nipo mbali kimkoa nimezinguana na wife kwenye simu ananiambia majira ya jioni nisimtafute kwenye simu na Kama nitakuwa mbishi nitajuta nitakachokisikia(anamaanisha anaenda kuliwa), Nina machungu hayana mfano, mafunzo niliyojia huku hata hayanogi kabisa, nipo nawaza atakavyovuliwa chupi(sjui atavaa shanga au cheni, vyote nimenunulia Mimi) ...aaarrgh!!!

Kwa kweli nikiacha huyu mwanamke, sitakuja kuoa tena maisha yangu yote
Pole sana ikifika Jioni ingia bar iliyo karibu nawe ukakate machungu huku mkeo akiwa wanampakaa mafuta

KATAA NDOA
PESA SIO SULUHISHO
PESA NI NGAO YA MWANAUME DHAIFU
UTAGONGEWA TU
NDOA NI UTAPELI
 
Kama mwanamke bikira hawez kutoka nje ya ndoa yake na wanawake wote waliolewa wakiwa mabikira mbona uzinzi umeandikwa tangu zama za kale kwenye vitabu vya dini na adhabu zake kuanishwa? Wasingekuwa wanatoka nje ya ndoa uzinzi ungekuwa ki2 ambacho hakijulikani. Na misemo kama kitanda hakizai haramu imetokeaje

Utaelewa polepole, muhimu usije ukaelewa Kwa Njia ngumu
 
IMG_8001.jpg
 
WAPE YATIMA NA WATU WENYE UHITAJI SAIDIA WAGONJWA MAHOSPITALINI WAPELEKEE MISAADA

SIO KWAMBA UKIWA NAZO BASI UMEMUWEZA MWANAMKE KISA UNA PESA

KATAA NDOA
PESA SIO SULUHISHO LA NDOA
PESA NI NGAO YA MWANAUME DHAIFU
UTAGONGEWA TU
NDOA NI UTAPELI
Yani pesa zangu halafu matumizi unipangie wewe? Uliambiwa Mimi ni UNICEF?
 
Daaah mwamba umenigusa sana, nimesafiri kikazi nipo mbali kimkoa nimezinguana na wife kwenye simu ananiambia majira ya jioni nisimtafute kwenye simu na Kama nitakuwa mbishi nitajuta nitakachokisikia(anamaanisha anaenda kuliwa), Nina machungu hayana mfano, mafunzo niliyojia huku hata hayanogi kabisa, nipo nawaza atakavyovuliwa chupi(sjui atavaa shanga au cheni, vyote nimenunulia Mimi) ...aaarrgh!!!

Kwa kweli nikiacha huyu mwanamke, sitakuja kuoa tena maisha yangu yote
Mkuu ulishamkosea mapema sana huyo mwanamke .Hawez thubutu nambia hivyo.Yan huyo nikirudi safarin tu (kama ningekua ndio wewe) huyo nafukuza nyumbani.

Huyo mwanamke ana nguvu kubwa sana ya kukufanya hata ukajiue na hiyo yote umempa wewe power over you.

Umenisikitisha na kunikera kwa wakati mmoja
 
Kwema wakuu!

Hizi habari za kuchapiwa, kuchapiana Wake na Wachumba hizi ni Mvua tuu za rasharasha. Tunasema haya ni mavuno ya awali, bado mambo hayajachanganya. Mambo yakichanganya hapa Dunia itakuwa na tafrani.

1. Mliambiwa Mwanamke anatakiwa Aolewe akiwa Bikra, mkasema bikra haimfanyi Mwanamke kuwa mwaminifu. Mkajiona mnaakili kuwashinda Mababu zenu.
Sawasawa, huu ndio muda wa kuvuna mlichopanda.

2. Mliambiwa na Mababu zenu kuwa Mwanamke hapaswi kumiliki uchumi, kupewa nafasi za utawala.
Ninyi mkajiona mnaakili kuwashinda wazee wenu. Hizi ni Mvua za rasharasha tuu. Nafikiri kizazi kinachofuata ndio mavuno yatachanganya.

3. Mliambiwa na Wazee wenu kuwa Hakuna urafiki baina ya mwanaume na Mwanamke. Mkawaona wazee wenu ni hamnazo.
Ati MTU anaruhusu Mkewe ataniwe taniwe hovyo, simu ya Mkeo imejaa chatting akichat na wanaume, Kwa kisingizio ni marafiki zake, sijui wafanyakazi wenzake, sijui classmates gani Huko.
Mtavuna mlichokipanda.
Eleweni kuwa NI ngumu Sana Mwanamke kuchapwa ndani ya siku moja bila mazoea.

4. Mliambiwa mkapuuza, msioe Wanawake wenye watoto, hasa Kwa kijana ambaye ni mdogo. Mkajifanya mnayajua mapenzi kuliko waliowazaa.
Sasa yakiwakuteni mnaanza kupiga mayowe.
Vijana lazima mjue kuwa kuna tofauti ya mapenzi na Ndoa. Mapenzi ni hisia lakini ndoa au familia ni taasisi inayoongozwa Kwa sheria na kanuni. Wakati mapenzi hayana Kanuni wala sheria.
Sio kosa kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na single mother, Ila ni kosa la kimkakati kuingia ndoani na Single mother.

Na hapa nazungumzia Kwa vijana wadogo wenye umri Chini ya miaka 40. Wazee mnaweza kuoa Mwanamke yeyote.

5. Mliambiwa msioe makabila tofauti. Mkajifanya mnaakili kuliko Babu zenu. ATI Kwa kudanganywa na maneno ya kisiasa. Ni kweli Sisi ni taifa moja lakini Sisi ni makabila tofauti yanayounda taifa moja.
Utofauti wa kimakuzi, desturi na Mila huchangia pakubwa kuvurugana ndani ya Familia.
Lakini hamtaki, kisa mnajifanya mmesoma, sijui mnashahada za uzamivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa mtavuna maumivu.

6. Mliambiwa Msiwe na huruma Sana na Wanawake na msiwaamini. Lakini Kwa ulofa wenu mmejichanganya.
Ni kweli wanasura za huruma, ni kweli wanatoaga machozi, ni kweli wanauwezo wa kuigiza ili waonewe huruma lakini kamwe usijichanganye.

Tumieni Akili, tumieni busara na hekima lakini msiongozwe na Huruma za kitoto na mihemko.
Oooh! Nimechepuka mara moja, nisamehe, ni Shetani, hakika Mimi ni Mwanadamu, huku anapiga magoti na kujiuliza. Upuuzi tuu! Sisi kama waafrika hakunaga kitu kinaitwa Msamaha Kwa kesi kama hizo.
Oooh! Huyu mtoto sio wako, Hana kosa lolote. Penda boga na Ua lake. Come on! Mmelogwa

Ooh! Taikon unachuki na Wanawake, hapana sina chuki. Hayo ni matunzo kila mwanaume lazima ayajue.
Vinginevyo vilio havikomi.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Waliotumbia nao waliambiwa vivyo hivyo na ni baada ya kukosea njia, acha na sisi tukosee njia tujaribu tuzame kwenye mapenzi tuoe tukipoteza umakini ndiyo tutajifunza na sisi tutawaambia kizazi kinachokuja ,ndoa ndiyo njia ,ukweli utakuweka huru kataa uwoga,waoga hawatarithi dunia
 
Kwema wakuu!

Hizi habari za kuchapiwa, kuchapiana Wake na Wachumba hizi ni Mvua tuu za rasharasha. Tunasema haya ni mavuno ya awali, bado mambo hayajachanganya. Mambo yakichanganya hapa Dunia itakuwa na tafrani.

1. Mliambiwa Mwanamke anatakiwa Aolewe akiwa Bikra, mkasema bikra haimfanyi Mwanamke kuwa mwaminifu. Mkajiona mnaakili kuwashinda Mababu zenu.
Sawasawa, huu ndio muda wa kuvuna mlichopanda.

2. Mliambiwa na Mababu zenu kuwa Mwanamke hapaswi kumiliki uchumi, kupewa nafasi za utawala.
Ninyi mkajiona mnaakili kuwashinda wazee wenu. Hizi ni Mvua za rasharasha tuu. Nafikiri kizazi kinachofuata ndio mavuno yatachanganya.

3. Mliambiwa na Wazee wenu kuwa Hakuna urafiki baina ya mwanaume na Mwanamke. Mkawaona wazee wenu ni hamnazo.
Ati MTU anaruhusu Mkewe ataniwe taniwe hovyo, simu ya Mkeo imejaa chatting akichat na wanaume, Kwa kisingizio ni marafiki zake, sijui wafanyakazi wenzake, sijui classmates gani Huko.
Mtavuna mlichokipanda.
Eleweni kuwa NI ngumu Sana Mwanamke kuchapwa ndani ya siku moja bila mazoea.

4. Mliambiwa mkapuuza, msioe Wanawake wenye watoto, hasa Kwa kijana ambaye ni mdogo. Mkajifanya mnayajua mapenzi kuliko waliowazaa.
Sasa yakiwakuteni mnaanza kupiga mayowe.
Vijana lazima mjue kuwa kuna tofauti ya mapenzi na Ndoa. Mapenzi ni hisia lakini ndoa au familia ni taasisi inayoongozwa Kwa sheria na kanuni. Wakati mapenzi hayana Kanuni wala sheria.
Sio kosa kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na single mother, Ila ni kosa la kimkakati kuingia ndoani na Single mother.

Na hapa nazungumzia Kwa vijana wadogo wenye umri Chini ya miaka 40. Wazee mnaweza kuoa Mwanamke yeyote.

5. Mliambiwa msioe makabila tofauti. Mkajifanya mnaakili kuliko Babu zenu. ATI Kwa kudanganywa na maneno ya kisiasa. Ni kweli Sisi ni taifa moja lakini Sisi ni makabila tofauti yanayounda taifa moja.
Utofauti wa kimakuzi, desturi na Mila huchangia pakubwa kuvurugana ndani ya Familia.
Lakini hamtaki, kisa mnajifanya mmesoma, sijui mnashahada za uzamivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa mtavuna maumivu.

6. Mliambiwa Msiwe na huruma Sana na Wanawake na msiwaamini. Lakini Kwa ulofa wenu mmejichanganya.
Ni kweli wanasura za huruma, ni kweli wanatoaga machozi, ni kweli wanauwezo wa kuigiza ili waonewe huruma lakini kamwe usijichanganye.

Tumieni Akili, tumieni busara na hekima lakini msiongozwe na Huruma za kitoto na mihemko.
Oooh! Nimechepuka mara moja, nisamehe, ni Shetani, hakika Mimi ni Mwanadamu, huku anapiga magoti na kujiuliza. Upuuzi tuu! Sisi kama waafrika hakunaga kitu kinaitwa Msamaha Kwa kesi kama hizo.
Oooh! Huyu mtoto sio wako, Hana kosa lolote. Penda boga na Ua lake. Come on! Mmelogwa

Ooh! Taikon unachuki na Wanawake, hapana sina chuki. Hayo ni matunzo kila mwanaume lazima ayajue.
Vinginevyo vilio havikomi.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Kizazi dhaifu sana hichi [emoji3544]
 
Punguza munkari Mkuu.
Picha ndio Kwanza limeanza
Utulivu, saburi, heshima, Haki, ukweli, upendo, hivyo ndio vikuongoze
Mkuu Niko katika mfadhaiko mkubwa sana, haya mambo yasikie tu usiombe yakukute. Hata chakula hakipandi, nimejaribu juisi imekataa kabisa
 
Waliotumbia nao waliambiwa vivyo hivyo na ni baada ya kukosea njia, acha na sisi tukosee njia tujaribu tuzame kwenye mapenzi tuoe tukipoteza umakini ndiyo tutajifunza na sisi tutawaambia kizazi inachokuja ,ndoa ndiyo njia ,ukweli utakuweka huru kataa uwoga,waoga hawatarithi dunia
Wenzako walisema hivyo hivyo kabla ya kugongewa ila baada ya kugongewa sasa au baada ya kugundua kwamba wanachapiwa, kilichofuata acha nisiseme sana
 
Back
Top Bottom