Mliambiwa lakini hamkusikia, sasa ni muda wa mavuno ya awali ya kile tulichopanda

Mliambiwa lakini hamkusikia, sasa ni muda wa mavuno ya awali ya kile tulichopanda

Zikabili changamoto zako binafsi mzee ,usiweke majumuisho ukataka kuona kana kwamba uliyokutana nayo wewe yanafanana na kwa wengine, kila mtu ana path yake ishi mzee acha uoga maisha ni ya kufurahia sio kuujaza moyo sumu na kuwajaza wengine sumu ya kuwa ndoa ni eneo la uwanja wa vita eneo hatarishi eneo lilojaa damu za vita eneo lisilo na amani mentality yako isiwe General,kila mmoja wetu ana case tofauti so usiwe na ubutu zaidi kuliko makali , sisi tunamakili ndiyo maana changamoto zako haziwezi fanana na zako kamwe juu ya ndoa ukapandikiza mabaya tu,mbona hamuongelei mazuri ya ndoa kizazi cha ajabu sana hichi kizazi laini laini
Mzee haujanielewa kwanza unakosea sana kusema kizazi hiki kizazi laini laini, unatambua mimi ni wa kizazi kipi?

Unajua kama jambo haulielewi kwa kina bora kutokujifanya mjuaji, wewe hujagongewa au hujachapiwa si ndio?

Basi subiri uchapiwe kwanza kisha nitafute...

KATAA NDOA
 
Mi mke Wangu tatizo katika list yako hapo ni kutomkuta bikra Na kabila tofauti ila nimekaotea kadogo sana under umri.kama kuliwa basis Mara mbili tu...nimeshakapa na ujauzito safi kabisa nakaendesha ninavyotaka
 
Daaah mwamba umenigusa sana, nimesafiri kikazi nipo mbali kimkoa nimezinguana na wife kwenye simu ananiambia majira ya jioni nisimtafute kwenye simu na Kama nitakuwa mbishi nitajuta nitakachokisikia(anamaanisha anaenda kuliwa), Nina machungu hayana mfano, mafunzo niliyojia huku hata hayanogi kabisa, nipo nawaza atakavyovuliwa chupi(sjui atavaa shanga au cheni, vyote nimenunulia Mimi) ...aaarrgh!!!

Kwa kweli nikiacha huyu mwanamke, sitakuja kuoa tena maisha yangu yote
Head of the family [emoji856]
 
Mi mke Wangu tatizo katika list yako hapo ni kutomkuta bikra Na kabila tofauti ila nimekaotea kadogo sana under umri.kama kuliwa basis Mara mbili tu...nimeshakapa na ujauzito safi kabisa nakaendesha ninavyotaka

Usiache kujipenda hiyo ndio namna ya kuishi na Mwanamke
 
Watu wa design yako huwa wanagongewa sana na watu wenye hela ....sababu ya maneno mengi pesa hakuna
 
Zikabili changamoto zako binafsi mzee ,usiweke majumuisho ukataka kuona kana kwamba uliyokutana nayo wewe yanafanana na kwa wengine, kila mtu ana path yake ishi mzee acha uoga maisha ni ya kufurahia sio kuujaza moyo sumu na kuwajaza wengine sumu ya kuwa ndoa ni eneo la uwanja wa vita eneo hatarishi eneo lilojaa damu za vita eneo lisilo na amani mentality yako isiwe General,kila mmoja wetu ana case tofauti so usiwe na ubutu zaidi kuliko makali , sisi tunamakili ndiyo maana changamoto zako haziwezi fanana na zako kamwe juu ya ndoa ukapandikiza mabaya tu,

mbona hata siku moja hamuongelei mazuri ya ndoa kizazi cha ajabu sana hichi kizazi lege lege

Awww couldn't have said it better; May God bless you. Na Mungu aendelee kuitofaitusha ndoa yako na za wengine. You shall enjoy your marriage and never endure it IJN.
 
Kaka nakuhakikishia kwa uwezo niliona kwa namna yoyote nikikutana na mke wako haijalishi ulimkuta bikra ukinipa daika tano za kuzungumza nae hatakuwa na uwezo wa kunisahau, kitakachofata baada ya hapo ni kupaga siku ya kumnyandua tu

Wanawake wanapenda wanaume wenye pesa, harafu uwe Hb na usiwe mjuaji

Sasa ww kwa ujuji wako huo naamini mkeo ameshakuchoka ni swala la muda tu.

Anaweza asikuelewe, ila mimi nakuelewa sana
 
Anaweza asikuelewe, ila mimi nakuelewa sana

Aliyewaambia Wanawake wanapenda wanaume wenye Pesa ndio aliyewapotosha pakubwa.
Mwanamke ni binadamu kama wewe tuu.
Kupenda kwake Pesa haimaanishi kila mwanaume mwenye Pesa anaweza date naye.

Unaweza ukawa na Pesa na bado Wanawake wakakutoa knockout kama utakosa Sifa za kiume
 
Mi mke Wangu tatizo katika list yako hapo ni kutomkuta bikra Na kabila tofauti ila nimekaotea kadogo sana under umri.kama kuliwa basis Mara mbili tu...nimeshakapa na ujauzito safi kabisa nakaendesha ninavyotaka
mkuu umetisha sana.
haha haha
Hongera sana
 
Back
Top Bottom