Mliambiwa lakini hamkusikia, sasa ni muda wa mavuno ya awali ya kile tulichopanda


Ninampinga jokajeusi Kwa sababu yeye hoja yake kuu NI hiyohiyo moja. Ya Ubikira. Hana hoja zingine.
Anafikir ubikra ndio Sifa pekee ya Kupata MKE Mwema.
 
Pole sana ikifika Jioni ingia bar iliyo karibu nawe ukakate machungu huku mkeo akiwa wanampakaa mafuta

KATAA NDOA
PESA SIO SULUHISHO
PESA NI NGAO YA MWANAUME DHAIFU
UTAGONGEWA TU
NDOA NI UTAPELI
 

Utaelewa polepole, muhimu usije ukaelewa Kwa Njia ngumu
 
WAPE YATIMA NA WATU WENYE UHITAJI SAIDIA WAGONJWA MAHOSPITALINI WAPELEKEE MISAADA

SIO KWAMBA UKIWA NAZO BASI UMEMUWEZA MWANAMKE KISA UNA PESA

KATAA NDOA
PESA SIO SULUHISHO LA NDOA
PESA NI NGAO YA MWANAUME DHAIFU
UTAGONGEWA TU
NDOA NI UTAPELI
Yani pesa zangu halafu matumizi unipangie wewe? Uliambiwa Mimi ni UNICEF?
 
Mkuu ulishamkosea mapema sana huyo mwanamke .Hawez thubutu nambia hivyo.Yan huyo nikirudi safarin tu (kama ningekua ndio wewe) huyo nafukuza nyumbani.

Huyo mwanamke ana nguvu kubwa sana ya kukufanya hata ukajiue na hiyo yote umempa wewe power over you.

Umenisikitisha na kunikera kwa wakati mmoja
 
Waliotumbia nao waliambiwa vivyo hivyo na ni baada ya kukosea njia, acha na sisi tukosee njia tujaribu tuzame kwenye mapenzi tuoe tukipoteza umakini ndiyo tutajifunza na sisi tutawaambia kizazi kinachokuja ,ndoa ndiyo njia ,ukweli utakuweka huru kataa uwoga,waoga hawatarithi dunia
 
Kizazi dhaifu sana hichi [emoji3544]
 
Punguza munkari Mkuu.
Picha ndio Kwanza limeanza
Utulivu, saburi, heshima, Haki, ukweli, upendo, hivyo ndio vikuongoze
Mkuu Niko katika mfadhaiko mkubwa sana, haya mambo yasikie tu usiombe yakukute. Hata chakula hakipandi, nimejaribu juisi imekataa kabisa
 
Wenzako walisema hivyo hivyo kabla ya kugongewa ila baada ya kugongewa sasa au baada ya kugundua kwamba wanachapiwa, kilichofuata acha nisiseme sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…