Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Hongera,nilikuwepo Tosamaganga 2000-03.
 
Mkuu story tamu fanya kuimalizia
😂😂😂😂😂😂unanikumbusha machungu mkuu!
Bas baada ya kunielekeza alivyo kumbe Kuna siku nilikua nasoma kwenye jengo flan na yeye alikuwepo macho yakagongana..... basi ikawa kila siku tukiwa kwenye zile kozi zinazotujuimuisha wote kama DS (developmental study) akawa ananiangalia sana na mimi nikawa nimemuelewa ila nikavunga kumfungia hadi pale uvumilivu ulipomshinda akanitafuta maana alikua kisu hatari!

Basi bhana siku hiyo mzee usingiz ulikua mtamu sana maana kesho yake ndo siku naenda kukutana na mtoto aliyenitafuta mwenyewe yaani kama dhahabu basi nilikua nimeikotoa kwenye kimbweta(vidude flan vya kusomea wale wa udsm wanavifahamu) 😂😂😂😂

Kweli tunaonana akanipigisha story nyingi sana jinsi alivyotafuta information zangu zote yaani kuanzia wapi nimesema olevel mpaka advance.... Na akaniambia hakutaka kutaja jana lake halisi ile mara ya kwanza alikua anataka aone ntampokeaje!

Basi ndo mapenzi yakaanzia hapo kila siku akawa ananisindikiza home usiku maana yeye alikua anakaa hostel ko njiani full kudendeka!

Mpaka alipokuja kupeperuka yule njiwa wangu😊😊😊😊😊
 
Njian tu, baadae sana nikaja kujua ni jirani yangu kumbe
 
Reactions: BAK
Manzi yangu nlmchukua alpokuja kupanga nyumba,chumba karibu na chumba changu.....nlkuwanateseka sana kelele za mahaba kila alipokuwaanakuja mshikaji wake..nlichokuwanaambulia ni salamu tu,siku nikasema usintanie nkapiga zangu ulabi 2 tatu na kuwasha nyasi,nkamfuata usku kumgongea nimelewa kisoo nikamwambia ukweli nimemuelewa toka kitambo na kelele zake na mshkaj wake zinanipaga stress,basi sikumbuki fresh kilichotokea bada ya apo,asubuhi nikaamka nipo nae kwny bed yake mtoto kaniwekea limao kwenye vidole vya miguu kanilalia kifuani.......IHESHIMIWE NYAGI🙋‍♂️
 
Siku moja nilienda lodge na demu wangu,tulipofika mapokezi nikamkuta jamaa mmoja yupo pia na demu wake,hatujuani,
Baada ya kupewa vyumba nikatoka kwenda kununua chakula nje(kitimoto),yule jamaa aliyekuwa na demu nadhani aliogopa kwenda maeneo yale yanayouzwa kitimoto akamtuma yule mwanamke wake,tukakutana tunaagiza nyama pale tukasalimiana tena na utani wa hapa na pale kwamba kwa msosi huo leo lazima nyasi zing'oke,akacheeka cheka pale tukapeana namba za simu,tukaanza kuwasiliana taratibu mapenzi yakaanza,hadi leo hii ndio naishi nae ndani kama mume na mke
 
[emoji23]kaka au pale darajani chuo cha ufundi

ila lile eneo(Tosamaganga) napamisi sana
Tulikuwa tunawalia timing hao wa ufundi kule half mile wakati wa kuoga hao wadada wa ufundi, wenyewe tulikuwa tunaita " acapulco bay". Hahahaaa i miss those days.
 
Tulikuwa tunawalia timing hao wa ufundi kule half mile wakati wa kuoga hao wadada wa ufundi, wenyewe tulikuwa tunaita " acapulco bay". Hahahaaa i miss those days.
😂😂😂 noma sana maji yakikata shule mnaenda mtoni kweli maisha ni safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…