Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Shikamoo Kasie Mnyamwezi K Matata

Maaahaaabaaaa B to the K.....

Hivi na wewe ni mnyanwezi eeehhh au wewe ni Muganyizii...??! hehehehehee
K' Matata.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kweny seminar registration, chuo..daaah!!!
Nimemtambulisha kwa wazee kijjn jana tu hapa
 
Ahahahahah.
Wale manesi wa Ipamba kwanza nilikua nakutana nao siku za jumapil tu kanisan na kwenye JointMass.
Halaf ukizinhatia ndio madem hao hao na waalim wanawatolea udenda basi ndio nikawa sinaga hata na muda nao.
😂😂 nakumbuka kuna mwana alishawahi ingia vita na mwl kisa nesi
 
Naona Umegeuka Kuwa Nikki Wa 2
She is my neighbor "a little far from home"
Nilimfundisha hesabu alipo kua form 2 hapo mimi nimemaliza form 4.
Kamaliza form 6 tukaanza ku date rasmi till now.

Mama Zetu ni marafiki sana toka kitambo
Nakumbuka siku moja Mama aliwahi nitamkia "ingekua ni zile Zama zetu za kuchaguliwa mke ningependa uje uoe kwa flani 'kwao uyo binti', ila mwanangu najua wakati bado ila Muangalie binti wa kwa flani napendezwa nae hata ukianza nae urafiki sio mbaya miaka minne mi tano sio mbali " .
Kimoyoni nikajisemea mother ungejua.
Ila sasa nahis Mama anafaham japo hana uwakika.

Kati ya wanaume wenye binti mrembo basi nami ni mmoja wapo, she is beautiful very beautiful she is smart too.
Mungu mlinde mrembo wangu.
 
Bangi sio nzuri
Kitaa kimoja,enzi hizo nawakaza wadada anaona
Anakazwa na wahuni naona,lakini ndo nshaoa "and all the past experiences had been dropped out"
Saivi twaishi kwa amani na furaha tele and we thank God for everything
 
Chuo alinielewa mwenyewe akatafuta namba yangu kwa washkaji flani ambao alikua anaona tupo Karibu wanasoma kozi moja!
Nikakuta ghafla napigiwa simu mi flani tumesoma wote o'level na alikua ameshatafuta information zangu zote nkakwambia simkumbuki kumbe ilikua gia ya kuchek ntampokeaje!
Baada ya kumwambia simkumbuki nkawa namuomba anikumbushe akaniambia kama nimemsahau basi akakata simu......

Badae akanitumia text km mi ni fulani akanielekeza alivyo na mara nyingi huwa ananiona wapi na tumeshawahi gongana macho sehemu gani!
Story ni ndefu........

Sijui hata nilimkosea nini mpaka leo sijui yuko wapi ila nadhan anafamilia yake
 
Well, Me and her kwa mara ya kwanza tulikutana kwenye ofisi fulani nilipokwenda kupata huduma.
Yeye alikuwa ni mwajiriwa mpya wa ofisi ile na ndo alikuwa P/s wa Boss niliyekuwa nahitaji kuonana nae.
Nilivyomuona tu kwa mara ya kwanza, nafsi na moyo wangu vikasema "Hakika huyu ndiye".
Nilijitahidi kujenga nae mazoea, akawa rafiki na hatimaye Mpenzi tuliyeshibana na Kupendana sana..
 
Back
Top Bottom