Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Mimi na wife, tulikutana makaburini pale Buguruni mkabala na Sokoni. Na good enough kumbe na yeye alikua member wa Jf...teh!!
Kuna time huwa tunakumbushana tunacheka sana
Wanyumbani umenichekesha Sana.....kaburini mlienda kuzika au kufuatilia marando /apoth /manyasi/ au kuwasalimia waliotangulia hahahahahah.
 
Back
Top Bottom