Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Hahahahhahahaha nitakuchapaa?
6EK52C712D Imethibitishwa. Umepokea Tsh200,000.00 kutoka 25575775**** - Mwifwa mnamo 2/6/19 saa 9:07 PM. Salio lako la M-Pesa ni Tsh200,384.00.

Hiyo hapo
 
Nikiwa high school tosamaganga iringa yy alikua Lugalo girls hapo hapo mkoani.Mi mwenyej mkoan ye kaja kusoma tu.Hatukua tunajuana though mpaka baada ya kumaliza advance tukakutana kikazi kwenye NGO moja hiv ambayo ilikua ikitumia form 6 leavers kama volunteers hapo hapo iringa.NGO hii kwa hapa dar wana ofis zao pale Nakiete (restless development enz hizo wakiitwa SPW -student partnership worldwide).

Hapo ndio tukajuana rasmi.Mwaka uliofuata tukaingia chuo.Na mwaka huo huo aka conceive na mwaka unaofuata akajifungua.Tulipomaliza mwaka wa tatu tukaingia kwenye maisha .2 years baadae tukarasimisha mahusiano kanisan na kwa sasa tumejaaliwa watoto kadhaa.She was my first ever girl n nw she is my wife foerverrrr.
school mate hongera!

yule wa ipamba ulimwacha kabisa😊 (natania)
 
Ahahahahah.
Wale manesi wa Ipamba kwanza nilikua nakutana nao siku za jumapil tu kanisan na kwenye JointMass.
Halaf ukizinhatia ndio madem hao hao na waalim wanawatolea udenda basi ndio nikawa sinaga hata na muda nao.
 
Nikiwa high school tosamaganga iringa yy alikua Lugalo girls hapo hapo mkoani.Mi mwenyej mkoan ye kaja kusoma tu.Hatukua tunajuana though mpaka baada ya kumaliza advance tukakutana kikazi kwenye NGO moja hiv ambayo ilikua ikitumia form 6 leavers kama volunteers hapo hapo iringa.NGO hii kwa hapa dar wana ofis zao pale Nakiete (restless development enz hizo wakiitwa SPW -student partnership worldwide).

Hapo ndio tukajuana rasmi.Mwaka uliofuata tukaingia chuo.Na mwaka huo huo aka conceive na mwaka unaofuata akajifungua.Tulipomaliza mwaka wa tatu tukaingia kwenye maisha .2 years baadae tukarasimisha mahusiano kanisan na kwa sasa tumejaaliwa watoto kadhaa.She was my first ever girl n nw she is my wife foerverrrr.
Lugalo imekuwa ya wasichana ? Nimesoma Lugalo ya Salingwa halafu Kitemangu miaka ya 90
 
Back
Top Bottom