Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Siyo kweli wanaupendo
Sitaki kuamini mbona jumba kuu ni tofauti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaki kuamini mbona jumba kuu ni tofauti?
Penye upendo uonekana ata machoniSiyo kweli wanaupendo
Shika mwenyewe kama unaona maliMwenza shikamoo!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaka shemeji mie nimeona watu wanaandika nami nikaandika tu.
bahati mzuri sanaa nilikutana nae rumande
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ivi hapa tunatakiwa tutaje hata ma ex tulikutana nao wapi? Nashindwa nitaje yupi niache yupi
Ajawai kuingia rumande anafikili wanawake wanalala selo moja na wanaume.Unadate mtu wa jinsia yako?
Mwwnza jamani ujue nimekumiss alafu unanifanyia hivyo[emoji134][emoji134]Shika mwenyewe kama unaona mali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We taja tu hata wa kwanza.
Chuo gan mzee mamaChuo
anatamanishaKawaje masai dada
Penye upendo uonekana ata machoni
Ajawai kuingia rumande anafikili wanawake wanalala selo moja na wanaume.
Yuko behewa la piliMwwnza jamani ujue nimekumiss alafu unanifanyia hivyo[emoji134][emoji134]
Huyu wa pm ni yupi sasa kati ya ile treni yako?
Kwenye simu.Wewe na mpenzi wako katika kuanzisha mahusiano yenu ya kimapenzi.
Je, at the first day mlimeet mahala gani?
Kwenye simu.
Baada ya mwaka 1 na miezi kadhaa tukakutana live sehemu tuliyopanga tukutane.
Rumande?? kua mlifungwa 'Selo' moja au??bahati mzuri sanaa nilikutana nae rumande
Mkatoe shukrani kwa mmiliki wa bus wewe na Demissaisee Basi hilo Bus limekutanisha wengi