HB.com
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 608
- 639
Supefeo ulikua unatoka wapi?? Songea, mbeya, iringa?Labda ni wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Supefeo ulikua unatoka wapi?? Songea, mbeya, iringa?Labda ni wewe
Supefeo ulikua unatoka wapi?? Songea, mbeya, iringa?
aisee Basi hilo Bus limekutanisha wengiDodoma to songea
Hongera mkuuKitaa kimoja,enzi hizo nawakaza wadada anaona
Anakazwa na wahuni naona,lakini ndo nshaoa "and all the past experiences had been dropped out"
Saivi twaishi kwa amani na furaha tele and we thank God for everything
aisee Basi hilo Bus limekutanisha wengi
Hahahaha ungebadili to route mzee babaNilikutana nae mianzini Arusha saa 11 asubuhi nikiwa nawahi stand ya bus kuja dar.
Alikua anaonekana ana ogopa kwasababu muda huo kulikua bado kuna kagiza kiasi, nikamsalimia then nikamtoa wasiwasi kwa kumwambia mimi ni abiria naelekea stand.
Akaniambia na yeye pia anaelekea stand awahi bus la mghamba aende mwanza.
Tulienda huku tunapiga story za hapa na pale, tulivyofika stand akataka kununua mfuko mkubwa ili aweke begi lake lisichafuke na vumbi, akampa muuzaji elfu kumi bahati nzuri au mbaya muuzaji hakua na change ikabidi nimlipie na kumsaidia kuliweka begi lake kwenye mfuko.
Baada ya hapo nikamuaga kwa kumuomba namba ili tuwasiliane akiwa njiani na yeye bila hiyana akanipatia.
Ila siku hiyo nilitamani nibadili route ya dar niende mwanza kwa jinsi mtoto alivyokua anashawishi
Umeolewa kwenye ukoo wa jiwe?Hakika na nimepata msukuma ananipenda sana alikuwa anaenda kwenye mashamba yake huko songea
Hahaaaa mleta mada ,Mimi ndye Mrs trouble maker to be, nambie sasa[emoji3] [emoji3]Mleta mada ametaka kukuona mpenzi.
Kawaje masai dadahuyo jamaa kwenye profile
Na ambao hatuna na hatujawahi kuwa na wapenzi tunaruhusiwa kucomment kwenye hii thread?[emoji848][emoji848][emoji848]wewe na mpenzi wako katika kuanzisha mahusiano yenu ya kimapenzai, je at the first day mlimeet mahala gani?
Umeolewa kwenye ukoo wa jiwe?
Wewe mr right ulionana nae wapi??Wow!, hiyo aya ya mwisho nimeipenda, nami nawatakia kila rakheri, Mungu akulindie baby hakika
Wewe ni Nikki wa pili?She is my neighbor "a little far from home"
Nilimfundisha hesabu alipo kua form 2 hapo mimi nimemaliza form 4.
Kamaliza form 6 tukaanza ku date rasmi till now.
Mama Zetu ni marafiki sana toka kitambo
Nakumbuka siku moja Mama aliwahi nitamkia "ingekua ni zile Zama zetu za kuchaguliwa mke ningependa uje uoe kwa flani 'kwao uyo binti', ila mwanangu najua wakati bado ila Muangalie binti wa kwa flani napendezwa nae hata ukianza nae urafiki sio mbaya miaka minne mi tano sio mbali " .
Kimoyoni nikajisemea mother ungejua.
Ila sasa nahis Mama anafaham japo hana uwakika.
Kati ya wanaume wenye binti mrembo basi nami ni mmoja wapo, she is beautiful very beautiful she is smart too.
Mungu mlinde mrembo wangu.
Longlive jf
Sitaki kuamini mbona jumba kuu ni tofauti?Hahahah wanaupendo wa dhati
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Longlive jf