mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
1931Mpenzi wangu tulikutana 1931 nijijini wakati naenda kupeleka ngombe malisho ndiyo ikawa first time, amekuwa mchumba tumeenda hadi leo n mke wangu, ambae leo n bibi yenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1931Mpenzi wangu tulikutana 1931 nijijini wakati naenda kupeleka ngombe malisho ndiyo ikawa first time, amekuwa mchumba tumeenda hadi leo n mke wangu, ambae leo n bibi yenu
We nae hutuliagi?....hahahaa, kila siku unasafiri..Kwenye basi la super feo
Hongera,nilikuwepo Tosamaganga 2000-03.Nikiwa high school tosamaganga iringa yy alikua Lugalo girls hapo hapo mkoani.Mi mwenyej mkoan ye kaja kusoma tu.Hatukua tunajuana though mpaka baada ya kumaliza advance tukakutana kikazi kwenye NGO moja hiv ambayo ilikua ikitumia form 6 leavers kama volunteers hapo hapo iringa.NGO hii kwa hapa dar wana ofis zao pale Nakiete (restless development enz hizo wakiitwa SPW -student partnership worldwide).
Hapo ndio tukajuana rasmi.Mwaka uliofuata tukaingia chuo.Na mwaka huo huo aka conceive na mwaka unaofuata akajifungua.Tulipomaliza mwaka wa tatu tukaingia kwenye maisha .2 years baadae tukarasimisha mahusiano kanisan na kwa sasa tumejaaliwa watoto kadhaa.She was my first ever girl n nw she is my wife foerverrrr.
Na muuza mboga,niliwafuma msiwasi ground. Hahahaaaschool mate hongera!
yule wa ipamba ulimwacha kabisa[emoji4] (natania)
😂kaka au pale darajani chuo cha ufundiNa muuza mboga,niliwafuma msiwasi ground. Hahahaaa
Yap.1931
Mie ni Mtanzania huko kote siko.
Tuliooa Dada wa kazi,
Tuna comment wapi!!!!!
😂😂😂😂😂😂unanikumbusha machungu mkuu!Mkuu story tamu fanya kuimalizia
Eneo la GeshiWewe na mpenzi wako katika kuanzisha mahusiano yenu ya kimapenzi.
Je, at the first day mlimeet mahala gani?
Hapana. Nlipomaliza form 6 nliitwa nikasomeshe wanafunzi wakati mimi nasubiri matokeoChuo Mkuu?
Tulikuwa tunawalia timing hao wa ufundi kule half mile wakati wa kuoga hao wadada wa ufundi, wenyewe tulikuwa tunaita " acapulco bay". Hahahaaa i miss those days.[emoji23]kaka au pale darajani chuo cha ufundi
ila lile eneo(Tosamaganga) napamisi sana
😂😂😂 noma sana maji yakikata shule mnaenda mtoni kweli maisha ni safariTulikuwa tunawalia timing hao wa ufundi kule half mile wakati wa kuoga hao wadada wa ufundi, wenyewe tulikuwa tunaita " acapulco bay". Hahahaaa i miss those days.