Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Hahaha vizur Sana mkuu
Hahahaaaaa
Kuna wakati huwa tunakaa na kujadili jinsi tulivyo kutana, na kisha ananikumbusha jinsi alivyokua ananichukulia baada ya kugundua nami ni member mtiifu wa Jf.....hahahaaa..... Hakika ananikumbushaga mengi sana hadi jinsi nilivyo mtukutu humu jamvini...teh!!!
 
Wow!, hiyo aya ya mwisho nimeipenda, nami nawatakia kila rakheri, Mungu akulindie baby hakika
 
Nimekutana nae jf ila kanikimbia, yaani huyu inaonekana alikua na mtu wake sasa hakuwa muwazi wanawake bwana akili zao ni za ajabu sana
 
Nikiwa high school tosamaganga iringa yy alikua Lugalo girls hapo hapo mkoani.Mi mwenyej mkoan ye kaja kusoma tu.Hatukua tunajuana though mpaka baada ya kumaliza advance tukakutana kikazi kwenye NGO moja hiv ambayo ilikua ikitumia form 6 leavers kama volunteers hapo hapo iringa.NGO hii kwa hapa dar wana ofis zao pale Nakiete (restless development enz hizo wakiitwa SPW -student partnership worldwide).

Hapo ndio tukajuana rasmi.Mwaka uliofuata tukaingia chuo.Na mwaka huo huo aka conceive na mwaka unaofuata akajifungua.Tulipomaliza mwaka wa tatu tukaingia kwenye maisha .2 years baadae tukarasimisha mahusiano kanisan na kwa sasa tumejaaliwa watoto kadhaa.She was my first ever girl n nw she is my wife foerverrrr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…