Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Nilimkuta nje ya duka lao anachambua matembele. Nikaacha kilicho nipeleka, nikaanza kumsaidia.

Kupiga piga story za kanisani kwao. Nikamuuliza kama wana group la vijana nikampa namba aniunge.
Cha ajabu group sikuungwa ikawa mwendo wa kuchart tu me nayeye.
Tumekuja shtuka tunaitana babe. Na ghetto anakuja kufanya usafi.๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kuna pisi ilikuja kufanya kaz ofcn baada ya siku tatu alikuwa ashanitunuku mbususu baada ya week 2 kila mtu na mish zake na bad tuko ofc 1
 
Kwa sangoma yeye alikua ndo nurse wa Sangoma katika kunitibu tibu ndo tukaanza hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asee nimecheka kama fara xa marehem ndo ulikutana nae au

Hahah...

We huoni hapo jamaa wa mwanzo kaandika kwamba alikutana na mpenzi wake msibani...

Sasa mleta mada anauliza swali la kizembe kwamba, huko msibani huyo mpenzi wa mshikaji alikuwa mfiwa?

Sasa swali gani hilo wakati msibani huwa kuna watu wa aina mbili mfiwa na marehemu...
 
Ahahahaaa haya bhn itakuwa alikuwa hajaelewa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Wa kwangu alikuwa traffic. Tulikutana barabarani. Alinitandika faini bhana, hata 10k ya rushwa niliyomtupia chini aliikataa

Aliniporomoshea matusi ya hapa na pale, muda huo mbupu zote zimelowa huku nikijaribu kujitetea. Nilitia huruma hakuna kilichosaidia. (Sintosahau)

Nilimuwinda kwa kila namna ili nimpate nimchakate mbususu ili machungu yaishe. Kesho yake nilijipitisha tena, hiyo siku alikuwa na ofisa Nkai wakiwa sare. Yule jamaa akanitupia matusi ya nguvu ila nilimpoza 5k akafunga bakuri lake

Sikuishia hapo. Nilipita tena na tena bila ya kurekebisha tatizo. Ilifika hatua huyo binti akaanza kunizoea mpaka pale aliponiachia namba zake za simu

Wiki 2 baadae nilimchakata mbususu nikiwa nimepaka mkongo kabisa. Ilihali nilimkanyaga usiku mzima, vilio na huruma aliyonionesha ilinifanya kuingiwa na majonzi. Kwa kuwa sikuwa tayari nimekwisha mpasua spika, ilinibidi nimsave kwenye software yangu ya huu mbichwa

Kwa sasa tuna mtoto mmoja, keshaacha utrafiki. Kwa sasa yuko na business yake ya saloon kubwa tu pale Mwenge

Niwatakie mihangaiko myema[emoji23]
 
Nimemaliza chuo
Nikaunganishwa nikapige kazi mahali flani, siku ya safari nikapokea simu kutoka kwa mkurugenzi wa ile sehem nayoenda ilikuwa ni sauti ya kike.
Nafika nakuta mkurugenzi ni binti mzuri wa saizi yangu, nikapiga kazi, wiki kadhaa mbele nikatongoza boss[emoji1787] akajaa
Nimebakiza kujitambulisha ukweni tu ila huyu simuachi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Wa kwangu alikuwa traffic. Tulikutana barabarani. Alinitandika faini bhana, hata 10k ya rushwa niliyomtupia chini aliikataa

Aliniporomoshea matusi ya hapa na pale, muda huo mbupu zote zimelowa huku nikijaribu kujitetea. Nilitia huruma hakuna kilichosaidia. (Sintosahau)

Nilimuwinda kwa kila namna ili nimpate nimchakate mbususu ili machungu yaishe. Kesho yake nilijipitisha tena, hiyo siku alikuwa na ofisa Nkai wakiwa sare. Yule jamaa akanitupia matusi ya nguvu ila nilimpoza 5k akafunga bakuri lake

Sikuishia hapo. Nilipita tena na tena bila ya kurekebisha tatizo. Ilifika hatua huyo binti akaanza kunizoea mpaka pale aliponiachia namba zake za simu

Wiki 2 baadae nilimchakata mbususu nikiwa nimepaka mkongo kabisa. Ilihali nilimkanyaga usiku mzima, vilio na huruma aliyonionesha ilinifanya kuingiwa na majonzi. Kwa kuwa sikuwa tayari nimekwisha mpasua spika, ilinibidi nimsave kwenye software yangu ya huu mbichwa

Kwa sasa tuna mtoto mmoja, keshaacha utrafiki. Kwa sasa yuko na business yake ya saloon kubwa tu pale Mwenge

Niwatakie mihangaiko myema[emoji23]
Kwa Nini Sasa aliacha kazi
 
Back
Top Bottom