Mlimani City walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuli hivi? Inamilikiwa na nani?

Wewe ndiye ulimchanja?
Kwani wewe ndio uliyemuambukiza hiyo corona au wewe ni nani hadi ndio tukubali ulichosema kuwa ndio kweli?
Elewa kwamba Magufuli alishanja kisirisiri hivyo hauwezi kuja kudai kafa na corona.
 
Kwa udikteta na ushenzi ule unafikiri hilo lengo lingefikiwa? Huwezi kuangusha mbuyu kama unakata mgomba.
Wakati ccm wanavuruga huo mchakato wa katiba mpya rais alikuwa ni Kikwete,na ipo wazi kuwa ccm hawataki katiba mpya sasa hapo Dikteta unambebesha tu lawama. Samia mwenyewe anasema kelele za katiba mpya ni za mitandaoni tu.
 
Ukiwa msafi kwenye biashara zako, hakuna makandokando lazima ujiamini.
Wengine walikuwa wanazijua weak spot zao. Wangekomaa wangepigwa kwenye Achilles heels zao.

Pia sehemu kama hotels ni rahisi kukutwa na makosa ya uchafuzi wa mazingira, kanuni za afya, sheria za kodi na uhamiaji kwa wafanyakazi na wageni. Mlimani City wamiliki wa biashara ya miundombinu ya kutolea huduma siyo watoa huduma hivyo ngumu kukutwa na makosa hayo niliyotaja.
 
Dua za kuiondoa ccm chanzo cha matatizo yote mbona hajawahi kujibu? Unaweza kueleza kwanini?
Wewe unanipangia cha kumuomba Mungu.?? Mm so chadema, cuf wala ccm mm ni mtanzania sawa. Sina chama. Hatujuani hivyo tusielezeane ambayo hatujuani.
 
Wewe unanipangia cha kumuomba Mungu.?? Mm so chadema, cuf wala ccm mm ni mtanzania sawa. Sina chama. Hatujuani hivyo tusielezeane ambayo hatujuani.
Kwani huyo uliyemuomba ni wa peke yako tuseme kwamba ni wewe tu ukimuomba ndio anakujibu ila wale wakimuomba hajibu? Acheni kumuhusisha Mungu kwa mambo yenu ya kipuuzi, hapo ulipo si ajabu una matatizo hadi kwenye nyayo ila hujamuomba Mungu akaziondoa halafu et ukamuombe Mungu amuondoe mtu duniani!

Miaka yote ccm imekuwa ikilaaniwa na kuombewa iondoke na huko ccm ndipo alipotoka Magufuli na kama atatokea Magufuli mwengine basi atatokea huko huko ccm maana ndio kajimilikisha nchi, ila hadi leo dua hazijibiwi wala laana haziwafikii sasa wewe umeona mtu kafariki unakuja na upuuzi wa kwamba et ulimuomba Mungu.
 
Ndo Mungu katupa ahueni maana tuliteseka
 
Nyie mlikuwa mnatoa wapi pesa kama sio pesa za mabeberu hizo kutoka uingereza? Hatutaki puppets, hata huyu aliyevagaa uRais sina imani nae kwa waarabu
 
hayawani bado yuko unamwita baba.

maslahi ya taifa huyajui wewe tuliza kalio uelekezwe,anayejua nini maana ya maslahi ya taifa hawezi kumbeza jpm hata siku moja.
 
Kwani wewe ndio uliyemuambukiza hiyo corona au wewe ni nani hadi ndio tukubali ulichosema kuwa ndio kweli?
Elewa kwamba Magufuli alishanja kisirisiri hivyo hauwezi kuja kudai kafa na corona.
Wewe unataka niamini kuwa kachanja kwa sababu wewe umesema? Wacha hizo
 
Wewe unataka niamini kuwa kachanja kwa sababu wewe umesema? Wacha hizo
Kwani wewe unafanya nini hapa umeonesha ushahidi kuthibitisha kifo cha Jiwe ni cha corona au unasema tu kuwa kafa kwa corona na unataka tukuamini?
Kama unaona nachosema mimi sio kweli basi wewe njoo na uthibitisho kwa unachosema wewe.
 
Nyie mlikuwa mnatoa wapi pesa kama sio pesa za mabeberu hizo kutoka uingereza? Hatutaki puppets, hata huyu aliyevagaa uRais sina imani nae kwa waarabu
Kumbe, na CCM na serikali inapopewa fedha na mabeberu kwani na wao vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…