Unaona kuna mtu kasemwa hapo,au hujui kurejea historia na kumsema mtu kukoje.tumia akili zako vizuri.wangewanyima mngewasema.
wamewapa mnawasema tena mkijiuliza nguvu ile ilitoka wapi.... dah..kumbe nao wangewanyima tu..
Sasa ulitaka waje watumbue chumbani kwa mama yakoIla CHADEMA wapuuzi sana. Mnajivunia kutumbua mihela ya ruzuku kwenye mahoteli ya kifahari huku chama hakiwezi hata kupangisha achilia mbali kujenga ofisi nzuri?
Huyo unayesema aliwahi kuwa meya wa sijui wa Ubungo miaka yote na asijue mmiliki wa ukumbi ulio katika eneo lake ni takataka kabisa.
Mbona alikua analialia kila siku aombewe[emoji38][emoji38][emoji38]Jiwe hawezi ogopa vitu vidogo
Hata kupata amani ya moyo ni mabadiliko mzeeWengi wanao mtukana uki wachunguza hamna walicho badilika ata jamaa alivyo dead wako pale pale
stil mafuvu yana nguvu kuliko chama ambacho hakieleweki kinasimamia nini.Leo yamebaki mafuvu tu utadhani siyo yule aliyejifanya Mungu mtu.
These idiots must be eliminated.Sukuma gang ni wapumbavu aisee, yaani hujaelewa hata jambo dogo hilo?
Kwani wamekwanbua shida yao ni kua na ofisi nzuri au unawashwa na mambo ya watu.Ila CHADEMA wapuuzi sana. Mnajivunia kutumbua mihela ya ruzuku kwenye mahoteli ya kifahari huku chama hakiwezi hata kupangisha achilia mbali kujenga ofisi nzuri?
Huyo unayesema aliwahi kuwa meya wa sijui wa Ubungo miaka yote na asijue mmiliki wa ukumbi ulio katika eneo lake ni takataka kabisa.
Jiwe ni mshamba na certified mwendewazimu ...mambo yote alitafanya kishamba ndio maana akafa kishamba na kuzikwa kiboyaTatizo ni kwamba kila baya au kosa lililofanyika awamu ya tano uhusishwa moja kwa moja na Jiwe, tofauti na sasa ambapo mazuri yote ndio uhusishwa nayo Samia ila mabaya ni ya wasaidizi wake ama ameshauriwa vibaya au hajui.
Hovyo kabisa, kwahiyo shida ni kutumbua fedha kwenye mahoteli!Kwani wamekwanbua shida yao ni kua na ofisi nzuri au unawashwa na mambo ya watu.
Utauponza, japo naingiza kichwa tu.Sasa ulitaka waje watumbue chumbani kwa mama.
Ni mazuzu wa aina yako tu wanaoamini huo upuuzi, wenye chama wanazidi kuzitafuna.CCM mataahira sana, Chadema haichukui ruzuku hata senti moja
Unatetea ujinga...biashara za watu zilidorora kwa ujinga huuWanasiasa wanajuana, wanatuchanganya tu raia, siasa za Chadema ni za wachumia tumbo, wanatingishaga tu kibiriti wapate maslahi yao, uzuri walimkuta Ngosha acheki na Kima, uso wa mbuzi, Mbowe ni mtu wa maslahi,mbwa Koko, yupo pale kufanikisha deals zake, Ngosha alikuwa anajua kuwa Mbowe ni Mwanasiasa uchwala.
Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
Kwani angewafanyaje hao mlimani city? Angetuma jeshi kuwakamata? Angetoa sababu gani?Kwa kifupi ni kwamba haya yalikuwa hayamhusu Magufuli wala hakuwatuma, walikuwa wanajaribu kumfurahisha, ingekuwa ni agenda ya Magufuli Hakuna namna mngefania vikao Mwabepande
Mimi sizungumzii ushamba wake wala maziko yake, nachosema ni kwamba makosa yote yaliyofanyika awamu ya tano alihusishwa nayo Jiwe moja kwa moja ila awamu hii makosa yanayofanyika hahusishwi Samia japokuwa yeye ndio rais kama alivyokuwa Jiwe.Jiwe ni mshamba na certified mwendewazimu ...mambo yote alitafanya kishamba ndio maana akafa kishamba na kuzikwa kiboya
Kwahiyo hao mlimani city wameweza kushindana na Dikteta kwa kumdindia kwa kile alichokitaka? Nyie si ndio mnaolalamika kila siku Jiwe alichomfanya Mbowe.Kwani angewafanyaje hao mlimani city? Angetuma jeshi kuwakamata? Angetoa sababu gani?
Au unamaanisha hakuwa na akili kuliko anavyodhaniwa?
Wewe mbwiga weka ushahidi hapa kama Chadema wanapokea ruzuku,Ni mazuzu wa aina yako tu wanaoamini huo upuuzi, wenye chama wanazidi kuzitafuna.
Mpumbavu ka babako nyanoko.
Utauponza, japo naingiza kichwa tu.Msukule mama yako
Sio kazi yangu, muulize Mnyika.Wewe mbwiga weka ushahidi hapa kama Chadema wanapokea ruzuku,