Mlimani City walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuli hivi? Inamilikiwa na nani?

Shetani lazima asemwe muda wote.
unadiriki kuita binaadamu mwenzako shetani kisa alikuzuia usijiuze!!!

hata baada ya kufa kwake bado una sumu rohoni,utakufa mcundu wazi mbwa wewe.
relax move on.
 
unadiriki kuita binaadamu mwenzako shetani kisa alikuzuia usijiuze!!!

hata baada ya kufa kwake bado una sumu rohoni,utakufa mcundu wazi mbwa wewe.
relax move on.
Kumbe wewe alikuruhusu ujiuze, ndiyo maana umeukwaa ukimwi
 
Awamu ya 5 ndiyo awamu mbovu kabisa kulinganisha na awamu zingine,yaani kulikuwa na ubabe wa kijinga sana,enyi NEC ya CCM mjitathmini sana na muwe macho msije mkampitisha Kiongozi mwingine kama yule,aliyeongoza kwa kutumia nguvu ya fitina na mabavu kwa kisingizio cha kujenga nchi.
 
Wewe na ukoo wako ni machoko walioko sokoni ndiyo maana wote mumepata ukimwi
magufuli hakurruhusu biashara haramu wakati wake,angeongeza mwezi tu wa kuishi mngekufa njaa kunguni nyie.

huwezi tegemea kuuza ndogo wamaume utoboe,utaishia kukasirikia watu hata wakiwa maiti kama wewe kiboga.
 
hii ni kwa mujibu wa fuvu lako mkuu.tumia kwa uhuru kama unavyotumia kiungo kingine kwa biashara.
 
Polisi ni taasisi iliyokosa weredi, watumishi wake wengi ni watu wa kupokea order bila ku reason, nguvu ndio ngao yao akili kwao ni matope na ubaya wengi wao walishakosaga akili kbs na ndio maana inaonekana ni ya wale walio fail shule!!
 
Ni juzi tu wamemuua mwanamke asiye na hatia hapo Sinza,siwaelewi kabisa Hawa watu
Polisi ni taasisi iliyokosa weredi, watumishi wake wengi ni watu wa kupokea order bila ku reason, nguvu ndio ngao yao akili kwao ni matope na ubaya wengi wao walishakosaga akili kbs na ndio maana inaonekana ni ya wale walio fail shule!!
 
Hoja imekuja kuzungumzia vitisho vya serikali ya Magufuli kwa wamiliki wa kumbi ,lakini wewe kwa makusudi umejisahaurisha kujadili hilo ,na kurukia hisia zako eti "Wanatingishaga kiberiti WAPATE masilahi yao. Ni masilahi yapi hayo ?? Thibitisha!

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 

Tutamjuaje kiongozi wa hovyo?
1. Tujenga utamaduni wa kuwahoji viongozi.
2.Tujenge utamaduni wa midahalo baina ya wagombea.
3. Vyombo vya habari viwe makini zaidi.

Tutamdhibiti vipi kiongozi wa hovyo?
1. Viwepo vifungu vya kikatiba vinavyodhibiti viongozi.
2.Bunge letu lipewe mamlaka na meno.
3. Wananchi waelimishwe kwamba wao ndio waajiri wa viongozi, and not vice versa.
4. Mamlaka zetu ziwe huru.
5. Madaraka yasilundikwe kwa mtu mmoja.
 
Ndii maana nikauliza mlimani City walijiamini na nini kumdindia yule dikteta
Hilo sasa unatakiwa ujibu wewe unayesema Dikteta ndio aliwatuma polisi mlimani city, utuambie jamaa walijiamini nini hadi kumdindia Dikteta na dikteta akanywea hakufanya kitu kama kweli yeye ndio aliwatuma.
 
Tatizo ni kwamba kila baya au kosa lililofanyika awamu ya tano uhusishwa moja kwa moja na Jiwe, tofauti na sasa ambapo mazuri yote ndio uhusishwa nayo Samia ila mabaya ni ya wasaidizi wake ama ameshauriwa vibaya au hajui.

..Jiwe alikuwa na sifa ya ufuatiliaji na kuchukua maamuzi ya haraka.

..Wazungu wanaita watu wenye tabia za uongozi kama za Jiwe kuwa ni "micro manager."

..Jiwe alikuwa anadhibiti kila mtu aliye chini yake, na alidhibiti kila kitu.

..Katika mazingira hayo kulipotokea jambo baya, halafu hatua hazikuchukuliwa, au zikachelewa, basi watu waliamini Jiwe ameidhinisha.

..Kwa mfano, chukulia usumbufu waliokuwa wakiupata viongozi wa vyama vya upinzani. Mambo hayo yaliendelea kwa muda mrefu bila wahusika kuchukuliwa hatua.

..Kwasababu Jiwe alikuwa ni kiongozi anayechukua hatua za haraka kukomesha mambo asiyoyapenda, na kwasababu usumbufu kwa vyama vya upinzani uliendelea kwa muda mrefu, basi watu wakaamini kwamba Jiwe alikuwa amebariki uovu huo.
 
unadiriki kuita binaadamu mwenzako shetani kisa alikuzuia usijiuze!!!

hata baada ya kufa kwake bado una sumu rohoni,utakufa mcundu wazi mbwa wewe.
relax move on.

Tulia ww muumini wa shetani, ww ndio unatakiwa ukubaliane na maisha mapya maana mumeo yuko jehanamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…