Mlimba Morogoro jau sana, ikifika saa 9 jioni haujageuka Ifakara ndio nitolee hadi kesho hiyo!

Mad Max next time ukija ni pm mzee mimi ni afisa usafirishaji almaarufu kama boda boda hapa ifoza mpk idete mzee tubadilishane mawazo.
Lakini siku ukifika tena ifoza ulizia califonia ni wapi hata ukachungulie🤣🤣
 
Hahaha dah sikujua aisee. Nitarudi nitapitia hii comment
 
Kuna basi moja la saa 7 kama sikosei inaitwa SARDINI / SADINI hilo likienda leo linarud kesho alfajiri..

Ndani kuna chawa, viroboto kama wote, na siti zake ni 2 by 3 mlango mmoja.. ndani kunapakiwa kila aina ya mzigo.

Sasa usiombe ukae siti za nyuma nyuma alafu unataka kushuka😂 utachagua ushukie dirishani au utambae juu ya siti kama buibui.
Hahahah. Kuna maeneo ni hatari kuishi. Halafu ndio mtaji wa chama tawala maeneo kama hayo.
 
Hahaha dah sikujua aisee. Nitarudi nitapitia hii comment
Yeaaah mzee karibu saana pia ukitaka ufurahie mji wa ifakara njoo mwezi wa saba-tisa hapa utahisi kama wenyeji wamechanganyikiwa lakini ndio maisha yao ni mwendo wa furaha tu wenyeji tupo tayari tuuze magunia kumi ya mpunga tuweke kigodoro kweny birthday ya mtoto.
 
Sijawahi kufika hii mikoa miwili.

Kwahiyo unaweza ukashtuka usiku saa nane na ukaamua kutafuta usafiri /daladala ya kukupeleka sehemu ya dakika 45 mpaka saa 1 na ukapata?
Arusha labda iwe imebadilika siku hizi miaka 8-10 iliyopita, pale mjini tu ikifika saa 2 ilikuwa shida.
 
Kule kuna maisha ya kukariri.
Watu wengi husafiri asubuhi na mchana kabla ya saa 9.
Zaidi ya hapo ukiona gari labda ya serikali/kanisa au la wagonjwa.
Kule bado wapo nyuma sana.
Mkuu unazungumzia ifakara ya mwaka gani? Wewe nadhni una miaka zaidi ya 10 hujafika ifoza na nadhani uliacha stand bado ni kwa makali. Ifakara magari yapo yanayoenda moro town kuanzia saa 12 asbhi mpka saa 11:30 jioni na sasa barabara ni lami mpaka saa moja kuna magari hapa nazungumzia mabasi ya tata. Na kutoka ifakara kwenda wilaya zingine mfano kwenda mahenge mpka mwaya magari mpka saa mbili usiku malinyi pia mpk saa mbil kidg mlimba ndio saa moja mwish kupata gani.
Sasa sijajua unaisemea ifakara ipi na ya mwaka gani
 
Hii nchi ni kubwa sana
Nimesafiri kutoka Karatu hadi Bunda toka saa moja asubuhi hadi saa 5 usiku
 
hahaaa
Kuna sehem inaitwa IMALAMPAKA ipo Tabora.. huko ukienda unahisi haurudi tena.. nilipanda aina zote za Usafiri, Boda, Bus, mpaka Punda kasoro treni, Meli na ndege.
[/QUOT
hahaaaa eti unahisi haurudi. mkuu hii nchi nikubwa mnoo. kuna sehemu watu wakiona gari wanaitana kushangaa watoto wanalia kwa woga
 
Kuna basi moja la saa 7 kama sikosei inaitwa SARDINI / SADINI hilo likienda leo linarud kesho alfajiri..

Ndani kuna chawa, viroboto kama wote, na siti zake ni 2 by 3 mlango mmoja.. ndani kunapakiwa kila aina ya mzigo.

Sasa usiombe ukae siti za nyuma nyuma alafu unataka kushuka😂 utachagua ushukie dirishani au utambae juu ya siti kama buibui.
Dah!😂
 
hahahaaa. kama buibui
 
Mkuu unazungumzia ifakara ya mwaka gani? Wewe nadhni una miaka zaidi ya 10 hujafika ifoza na nadhani uliacha stand bado ni kwa makali. Ifakara magari yapo yanayoenda moro town kuanzia saa 12 asbhi mpka saa 11:30 jioni na sasa barabara ni lami mpaka saa moja kuna magari hapa nazungumzia mabasi ya tata. Na kutoka ifakara kwenda wilaya zingine mfano kwenda mahenge mpka mwaya magari mpka saa mbili usiku malinyi pia mpk saa mbil kidg mlimba ndio saa moja mwish kupata gani.
Sasa sijajua unaisemea ifakara ipi na ya mwaka gani
Nilikuwa hapo mwezi wa sita 2024 unataka niweke risiti za mafuta nilizoweka kwenye vituo vya mafuta huko Ifakara??

Point yangu ni barabara ya kwenda Mlimba, barabara ya kwenda Malinyi halikadhalika Magenge.
Huko ndio kwetu unajua maana ya jina langu?? Asili yake ndio huko.
 
Back
Top Bottom