Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Ashughulikiwe maana anaidhalilisha dini ya haqi. Dini ya mnyaazi mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mudi ndio wapi😅😅😅😝Acha kupotosha,yule wa uhispania alimbusu kabisa kwenye mdomo,huyu wa kwa mudi kakumbatia tu
Kuna viungo kwa mwanamke havitakiwi kuwa wazi public mfano nywele , na nguo iwe ndefu yenye kuficha mapaja na baadhi ya sehemu ya miguu yani kama uunavyoona masister kanisani ule ndio uvaaji sahihi kwa mwanamke kwemye uislamu na iran inafuata sheria za kiislamu wapo sahihi kukazia sheri zao
Sio amemkumbatia tu amemla mate bila ridhaa ya mchezaji!Si bora huyo ameitwa kwenye kamati ya nidhamu, aliye kuwa mkuu wa shirikisho la soka la Uhisipania mpaka sasa anakabiliwa na hatari ya kwenda jera baada ya kumkumbatia mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya nchi hiyo.
Kosa #1 ni kutokimbia alipokuwa anakimbiliwa na hako kademu. Kosa #2 ni kukumbatia mwanamke hadharani. Kosa #3 ni kukumbatia asiye mke wake. Kosa #4 kuidhalilisha dini.
Akikutikana na hatia anaweza kunyongwa.
Upumbavu kabisa kafanya huyu Mzee daah..
Huyu Luis Rubiales alimbusu mchezaji Jenny Hermoso ndiyo kosa lake na siyo kukumbatia.Si bora huyo ameitwa kwenye kamati ya nidhamu, aliye kuwa mkuu wa shirikisho la soka la Uhisipania mpaka sasa anakabiliwa na hatari ya kwenda jera baada ya kumkumbatia mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya nchi hiyo.
Ww kama unaona ni sahihi kwa Uhisipania kuharamisha kumbusu mwanamke hadharani kwanini uone tatizo kwa Iran kuharamisha mwana mke kukumbatia mwanamke hadharani?Huyu Luis Rubiales alimbusu mchezaji Jenny Hermoso ndiyo kosa lake na siyo kukumbatia.
Hakuna mahali nimetoa mtazamo wangu katika hii mada zaidi ya kusahihisha taarifa zisizo sahihi.Ww kama unaona ni sahihi kwa Uhisipania kuharamisha kumbusu mwanamke hadharani kwanini uone tatizo kwa Iran kuharamisha mwana mke kukumbatia mwanamke hadharani?
Kwani ukimbusu unakuwa umempunguzia nini kwenye mwili wake?
Kila nchi na sheria zake.Sio amemkumbatia tu amemla mate bila ridhaa ya mchezaji!