Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

Hehehe yaani hawa watu ni vituko, mara wajilipue mabomu mara hawataki mwanamke akumbatiwe wakati mwenyewe kajileta
brazaj mnashida sana nyie watu.

Kuna hizi nguo za heshima sana hapa:

GLNs9LCXoAAsNLJ.jpeg

Hivi tunaziitaje kwa majina ndugu?
 
Si bora huyo ameitwa kwenye kamati ya nidhamu, aliye kuwa mkuu wa shirikisho la soka la Uhisipania mpaka sasa anakabiliwa na hatari ya kwenda jera baada ya kumkumbatia mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya nchi hiyo.
Alimpiga denda mdomoni kwa nguvu. Mzee hii hata bongo ukifanya unaingia matatizoni
 
kama laana ni kutaka watu wajistiri basi huyo mungu aliyekufundisha hivyo kakudanganya.
Mbona hushangai masister wakijistiri kama waislamu na wanavaa ushungi, mbona hawakai nusu uchi kama ni sawa kukaa hivyo
Kujisitiri nywele tu??? Au we nae kama kiande
 
Bora hata huyo wa miaka 11....hebu ona hii hapa mtume mwenyewe kafukunyua katoto ka miaka 9, tena ipo kwenye maandiko yao wala hamna aliyemusingizia

Muhammad aliikamilisha ndoa yao kwa tendo la unyumba wakati 'Aisha alipokuwa na umri wa miaka tisa."Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 43 na.236, uk.153.
Labda miaka 9 ya kipindi hicho ilikuwa ikihesabiwa tofauti na hivi sasa ...labda ni miaka 18 kwa kalenda ya sasa
 
Alimpiga denda mdomoni kwa nguvu. Mzee hii hata bongo ukifanya unaingia matatizoni
Mkuu sio lazima sheria zifanane kila nchi na Sheria zake na ndio maana nchini kenya na Somalia mirungi ni kiburudisho wakati Tz ni madawa ya kulevya.
 
Ww kama unaona ni sahihi kwa Uhisipania kuharamisha kumbusu mwanamke hadharani kwanini uone tatizo kwa Iran kuharamisha mwana mke kukumbatia mwanamke hadharani?
Kwani ukimbusu unakuwa umempunguzia nini kwenye mwili wake?
Acha porojo na upotoshaji, Hispania watu wako huru hata kulana mate hadharani kama wote wawili wameridhiana. Huyo mwanamke alilamika kwamba haikuwa ridhaa yake na hakupenda kupigwa busu la aina ile na kocha wake wake.
 
Mkuu sio lazima sheria zifanane kila nchi na Sheria zake na ndio maana nchini kenya na Somalia mirungi ni kiburudisho wakati Tz ni madawa ya kulevya.
Kwenye huru sheria huwa hazitofautiani sana, hata hapa Tanzania kuna wakati utafika mirungi na bangi vinaruhusiwa tu.
 
Mkuu sio lazima sheria zifanane kila nchi na Sheria zake na ndio maana nchini kenya na Somalia mirungi ni kiburudisho wakati Tz ni madawa ya kulevya.
Nimesahihisa ulichosema, kupiga mwanamke denda kwa nguvu ni kosa kwa nchi nyingi, nikakutolea hata mfano Tz
 
Si bora huyo ameitwa kwenye kamati ya nidhamu, aliye kuwa mkuu wa shirikisho la soka la Uhisipania mpaka sasa anakabiliwa na hatari ya kwenda jera baada ya kumkumbatia mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya nchi hiyo.
Acha uongo, yule boss wa uhispania alimbusu mdomoni mchezaji mwanamke bila ridhaa yake.
 
Acha uongo, yule boss wa uhispania alimbusu mdomoni mchezaji mwanamke bila ridhaa yake.
Sasa kama unaona ni sawa kwa Uhisipania kuharamisha kumbusu mwanamke ,kwa nini isiwe sawa kwa Iran kuharamisha kukumbatia mwanamke?
 
Acha porojo na upotoshaji, Hispania watu wako huru hata kulana mate hadharani kama wote wawili wameridhiana. Huyo mwanamke alilamika kwamba haikuwa ridhaa yake na hakupenda kupigwa busu la aina ile na lochs wake.
Kwani tatizo liko wapi?
Baada ya kumbusu alimpunguzia nini kwenye mwili wake?
Kila nchi ina sheria zake ,kitu fulani kinaweza kuwa halali ndani ya nchi fulani wakati huo kikawa haramu ndani ya nchi nyingine.
 
Kujisitiri nywele tu??? Au we nae kama kiande
Au ndio nyie wa mtu ajistiri roho halafu mnaenda kanisani kusali nusu uchi? Kama mwanamke umeshindwa kujistiri mwili wako utaweza kujistiri hiyo roho? Mbona masister kanisani hawavai hovyo na wanafunika vichwa vyao?
 
Kwenye huru sheria huwa hazitofautiani sana, hata hapa Tanzania kuna wakati utafika mirungi na bangi vinaruhusiwa tu.

Lakini sasa hivi mirungi na bangi havijaruhusiwa na ndio maana mpaka sasa ukikamatwa navyo ufungwa jera .

Hivyo hivyo hata Iran kuna wakati utafika kukumbatia hadharani kutaruhusiwa tu kwa wakati wanao uona unafaa kwao , lakini kwa sasa ni kosa kwa mujibu wa Sheria za nchi yao.
 
Huo uislamu huwa hamueleweki maana kuna sehemu nilisoma kwamba mwanaume hapaswi kuonyesha magoti, sasa mbona wachezaji wa timu ya Iran hapa naona magoti nje nje......
Picha ya pili timu ya wanawake Iran, hapo wamesitiri nywele sawa ila kwa mwanaume rijali hizo nguo walizovaa lazima nipate minyege, kwa hiyo nyie nyege mnapata tu kwa kuona nywele.

Mkiambiwa mstaarabike mnatuhumu watu kwa chuki, hizi sheria za mwarabu yule zilitekelezeka huko jangwani enzi zile lakini sio kwenye ulimwengu wa leo.

2022-09-23T160629Z_939259183_UP1EI9N18QR9Q_RTRMADP_3_SOCCER-FRIENDLY-IRN-URY-REPORT.jpg

image1_zbxa__v516x270__.jpg

1400070316334643823678864.jpeg
Kwako ustaarabu ni kukaa uchi? Wale masister kanisani wanaovaa kama waislamu nao hawajastaarabika?
 
Lakini sasa hivi mirungi na bangi havijaruhusiwa na ndio maana mpaka sasa ukikamatwa navyo ufungwa jera .

Hivyo hivyo hata Iran kuna wakati utafika kukumbatia hadharani kutaruhusiwa tu kwa wakati wanao uona unafaa kwao , lakini kwa sasa ni kosa kwa mujibu wa Sheria za nchi yao.
Iran kabla ya mapinduzi ya ma- Ayatollah mwaka 1979 lilikuwa kama mataifa ya ulaya. Hakukuwa na haya mazonge ya sasa ya kupangia wanawake wavae nini, wasishike nafasi zipi za uongozi au wasikumbatiane na wanaume hadharani. Mapinduzi ya Shah yaliwarudisha karne za giza kabisa maana hata katika kipindi cha Persian empire tu Wa-Iran walikuwa na uhuru mkubwa kuliko walionao sasa.
 
Sasa kama unaona ni sawa kwa Uhisipania kuharamisha kumbusu mwanamke ,kwa nini isiwe sawa kwa Iran kuharamisha kukumbatia mwanamke?
Uwe unaelewa Ustadh, ishu hapa ni ridhaa ya wahusika wote wawili.
Tukio la Uhispania mchezaji hakuwa ameridhia kupigwa busu la mdomo (kalazimishwa) sasa huwezi ukalinganisha na kitendo cha shabiki mwanamke wa Iran aliyekumbatiana (hakuna kulazimishwa/wote wanaonekana kuridhia) mchezaji mwanaume.
Ukweli ni kwamba tukio la Iran limeuanika UJINGA wa waarabu!.
 
Iran kabla ya mapinduzi ya ma- Ayatollah mwaka 1979 lilikuwa kama mataifa ya ulaya. Hakukuwa na haya mazonge ya sasa ya kupangia wanawake wavae nini, wasishike nafasi zipi za uongozi au wasikumbatiane na wanaume hadharani. Mapinduzi ya Shah yaliwarudisha karne za giza kabisa maana hata katika kipindi cha Persian empire tu Wa-Iran walikuwa na uhuru mkubwa kuliko walionao sasa.
Binadamu wa wakati wa giza walikuwa hawavai nguo bali walikuwa wanatembea uchi wa mnyama.

Nguo ndo ilikuja kutofautisha kati ya mnyama na binadamu na kuonesha kuwa binadamu ni kiumbe kilicho sitarabika.

Hivyo kutembea nusu uchi ndo uzamani na sio usasa kuwa na akili.
 
Itoshe kusema hujui Historia na wala hujui dark ages ni kipindi gani.
 
Back
Top Bottom