ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Kwa mujibu wa sheria za Iran ni kosa kukumbatiana watu wa jinsia mbili tofauti haijalishi wame kubaliana au lah.Uwe unaelewa Ustadh, ishu hapa ni ridhaa ya wahusika wote wawili.
Tukio la Uhispania mchezaji hakuwa ameridhia kupigwa busu la mdomo (kalazimishwa) sasa huwezi ukalinganisha na kitendo cha shabiki mwanamke wa Iran aliyekumbatiana (hakuna kulazimishwa/wote wanaonekana kuridhia) mchezaji mwanaume.
Ukweli ni kwamba tukio la Iran limeuanika UJINGA wa waarabu!.
Unawashangaa Iran na Waarabu kukataza watu kukumbatiana, ila haushangai mafisadi walio jazana ndani ya nchi yako kuishi kama wako peponi wakati ndani ya China yananyongwa?
Sasa kati ya nyinyi na hao waarabu ni nani asiye na akili?