Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

Kwa mujibu wa sheria za Iran ni kosa kukumbatiana watu wa jinsia mbili tofauti haijalishi wame kubaliana au lah.
Unawashangaa Iran na Waarabu kukataza watu kukumbatiana, ila haushangai mafisadi walio jazana ndani ya nchi yako kuishi kama wako peponi wakati ndani ya China yananyongwa?
Sasa kati ya nyinyi na hao waarabu ni nani asiye na akili?
 
Itoshe kusema hujui Historia na wala hujui dark ages ni kipindi gani.
Ugunduzi wa nguo ni matokeo ya usasa na kustaarabika kwa binadamu, na ndio maana sasa hivi ukivaa uchi hata ndani ya nyumba yako kuanzia mkeo na watoto wako watakuona kichaa.
Ukiona mtu hajavaa nguo ambayo haijamstiri vizuri jua huyo hajastaabika na ana chembe ya wenda wanda wazimu.

Alafu huo utawala wa Shah unao shinda humu una usifu si ni wairani wenyewe walio ona hauwafai wakaingia mitaani kuupinga na kuuweka huu utawala wa Ayatulla ?
 
Labda miaka 9 ya kipindi hicho ilikuwa ikihesabiwa tofauti na hivi sasa ...labda ni miaka 18 kwa kalenda ya sasa

Kwa hiyo tuamini hiyo "Labda" yako, maana nikiangalia hapa nje kabinti ka miaka 9 halafu niwaze lizee la miaka 50 linakapumulia.....napata shida sana kuwaelewa nyie watu.
 
Huyu amevaa nini hii....ifike mpate aibu, na mtasemwa tu hata mlie lie vipi.

1. Wapi umeona nikibagaza nguo za watu hata kama mimi hazinihusu?

2. Au wapi umeona nikijinasibu popote na dini yoyote Ile?

Angalizo: miye siyo mfia dini mwenzenu zenu ziwe uislamu, ukristo, ubaniani, uhindu, ubudha, upagani nk.



BTW: Vipi vile vi drone vyetu vya watoto lini mwarusha tena?
 
Si bora huyo ameitwa kwenye kamati ya nidhamu, aliye kuwa mkuu wa shirikisho la soka la Uhisipania mpaka sasa anakabiliwa na hatari ya kwenda jera baada ya kumkumbatia mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya nchi hiyo.
Sio kumkumbushia, alimchum😊
 
Joho

Hayo ni mavazi ya viongozi wa kikatoliki.
Suti, jeans, kaunda suti, kurta, cadet n.k yote ni mavazi ya heshima.

Ninatambua hivyo na kuyaheshimu mno. Ila hujawahi kumsikia nduguyo MK254 akibagaza mavalio ya wengine? Uliwahi kumkumbusha hilo hata mara moja? Au ni pale yanapotuhusu tu?
 
Ninatambua hivyo na kuyaheshimu mno. Ila hujawahi kumsikia nduguyo MK254 akibagaza mavalio ya wengine? Uliwahi kumkumbusha hilo hata mara moja? Au ni pale yanapotuhusu tu?
MK254 ni mkatoliki?
 
Kumbuka huyo mtu alizaliwa uchi, unawajua waliomwona akiwa uchi bado wanayo taswira ya jinsi alivyo?
 
Katika nchi za kiislamu wanaojielewa ni waturuki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…