Mlinzi Suma JKT ajiua kwa kujipiga risasi shingoni

Mkuu tema mate chini.
 
Kaka haya maisha ukiwa na roho ndogo ni shida.

Shida inakuja wengine changamoto kazi tuweze kujimudu na familia zetu za kimaskini wengine changamoto mapenzi daaahh haya mambo yanafikirisha sana.
 
😥😥😥
 
Pambana ww hela zipo na sio lazima uajiliwe
 
Kuna ATM nilienda kutoa pesa ilikuwa muda wa mchana, wakati naondoka mmoja wa Askari Polisi aliyekuwa lindo na silaha ambapo dirisha lao linaangaliana na mashine za ATM akaniita akaniomba pesa, nilicheka kwa usalama wangu nikampa 10,000 nikaondoka nikajisemea sitokaa niende tena kwenye hiyo ATM kutoa pesa, nitakwenda kwwnye atm zingine.
 
Mshahara Tsh.120,000.
Mshahara kisanga kazi roho mkononi anytime unakufa anytime unafukuzwa kazi anytime unabambikwa kesi isiyokuhusu kisha unafukuzwa kazi, full depression sasa ukifikiria msoto wa mtaani ulivyo na mshahara ulikua unapata kiduchu ila ulikua unakomaa tu kibishi, shotgun ipo wapi unaingia nayo ndani taratibu unafunga mlango unapiga sala/dua zako za mwisho puuuuuu
 
Suma mishahara yao inarange kwenye sh ngapi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…