Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

Imenishangaza sana, nadhani sababu ya kuwatenga wanawake na wanaume ni faragha.

Sasa kama vidume wanakaa sehemu za wanawake kuna maana gani?
View attachment 3019543
Inashangaza!

Yule kaenda kuabudu au yuko kikazi?
Sasa unadhangaa hilo? Ulizia jinsi gynaecologists wa kiume, tena wengine vijana tu wanavyo washuhuria maustadha. Pia hao maustadha wanawapenda madaktari wa kiume kuliko wa kike.

CC: FaizaFoxy Bwana Utam hii kiimani ikoje?
 
Duuuh we jamaa😄
 
Imenishangaza sana, nadhani sababu ya kuwatenga wanawake na wanaume ni faragha.

Sasa kama vidume wanakaa sehemu za wanawake kuna maana gani?
View attachment 3019543
Inashangaza!
Mkuu,

Mbona ukifanya uchambuzi wa hizi picha mbili inaonekana hao ni watu wawili tofauti kabisa. Mfano

1. Angalia muundo wa pua wa chini kati ya huyo mwenye hijabu na huyo mwanaume, ni vitu viwili tofauti kabisa. Zoom na uangalie kwa makini.

2. Ukitazama eneo la karibu ya jicho la kulia la huyo mlimzi, utagundua ana kitu kama kovu lililojitokeza juu/protruding scar. Huu ni utambulisho wa wazi kabisa, kitu ambacho hukioni kabisa kwenye picha ya mwenye hijabu.

3. Angalia structure/appearance ya eneo la nyusi la huyo mlinzi, angalia wingi wa nyusi zake na kisha fananisha na huyo mwenye hijabu.
 
Ila nyie waha ni wabishi
 
K
Ila nyie waha ni wabishi
Kwanini usijibu kwa kuzingatia kile nimeandika mkuu?, kumuita mtu Muha kisa tu anatofautiana na kile unachowaza wewe nadhani ni low level of maturity.

Pinga/fafanua yale niliyo andika kulingana na uwezo wako wa kuchambua mambo.
 
Jambo liko wazi
Sasa unalazimisha nikujibu Nini tena wakati unaona huyo mwanaume

Unaleta habari za makovu
 
Back
Top Bottom