Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

Ila Kaz nyingne hizi hata kama zina Hela hapana unaweza jikuta unavalishwa had chupi ya kike na pedy hvhv Kwa niaba ya boss wako dadeki[emoji23][emoji23]
Umeenda mbali sana jamaniii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilisikia mlindwaji akimuambia mlindaji amependeza na hayo maushungi
 
Nawaza tu hapa kama Rais angekuwa ni Mkatoliki! Halafu akafanya kitendo kama hicho kwa hawa ndugu zetu!!! Nahisi takbiiir zingekuwa ni nyingi sana mtaani.
Ungesikia hadi Wazungu wangetajwa hapaa, ila imekaa upande wao wako kimyaaaa.
Kimewalambaaaa woiiiiih
 
Angekua ameingia kanisani hivyo wangesema ni upinde, kanisa limebariki na blah blah za hivyo.
Sasa njema imeingia msikitini kabisaa [emoji23][emoji23][emoji23] hii nchi ina vituko sijapata ona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walikosea kumuandaa mapema, ndevu zile wangetoa zote wampake na enjo face.

Huko mbele huwa wanatengenezwa mapema.

Ule mtandio duuuu , sijui aliupata wapi mweee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom