Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanunue udongo wa Upako upate akili na mali.HII KIDINI IPOJE ????
Kama kuna upungufu wa wanawake inabidi muumbe wenu badala ya kusubiri Mungu awaletee.Imenishangaza sana, nadhani sababu ya kuwatenga wanawake na wanaume ni faragha.
Sasa kama vidume wanakaa sehemu za wanawake kuna maana gani?
View attachment 3019543
Inashangaza!
WaromaUkitaka kuishi na waloma vaa Kama waloma [emoji23][emoji23]
Huyu demu ana sura ya kikauzu!KUSOMA HUJUI HATA PICHA HUONI
Hakuna mtu asiyetaka Rais alindwe. Lakini makosa kama haya hayatakiwi na ndio yanatia doa.Hutaki rais alindwe,unajua gharama za rais mpya na cabinet recycling,na RC recycling?
Kumbe kwenye nyumba za Ibada hakuna Ulinzi wa Mungu ule wanaotwambiaga.ni sawa anaweza ingia gaidi akavaa kike akammaliza. Kwangu naona ni sawa kiulinzi
Aisee nyie mijitu ni mipumbavu sana mmezaliwa na wanawake na wamebeba mimba zenu miezi 9 leo mnaletewa utamaduni usio wa Kiafrika misikitini mnawatenga wanawake lakini vitandani mnawakumbatia kisa uislam huo ni upumbavu uliopitilizaSasa huoni mwamba ana mustache kabisa?!
Tafuteni vitu vya kujadili humu kwani mmeona Mungu kasimamisha siku kwa kitendo hicho au kumetokea madhara gani??Alivaa ili kutojulikana...sasa mbona imejulikana au wenzie ndo waliovujisha!?
Matusi ya nini mkuu?! Kuna sehemu yoyote kwenye comment yangu kumeashiria udini?!Aisee nyie mijitu ni mipumbavu sana mmezaliwa na wanawake na wamebeba mimba zenu miezi 9 leo mnaletewa utamaduni usio wa Kiafrika misikitini mnawatenga wanawake lakini vitandani mnawakumbatia kisa uislam huo ni upumbavu uliopitiliza
Kwahiyo mama yako pia ni haeamu kuwa karibu naye au msikitini tu ndiyo haramu??Haramu
Nilifundishwa kuwa ukibahatika kumjua "afisa usalama" USIMTANGAZE.Hawa wanafanya kazi kwa manufaa ya nchi.Imenishangaza sana, nadhani sababu ya kuwatenga wanawake na wanaume ni faragha.
Sasa kama vidume wanakaa sehemu za wanawake kuna maana gani?
View attachment 3019543
Inashangaza!
Upumbavu siyo tusi ni sifa yako hilo jambo limekupunguzia nini kwenye upumuaji wako?umekosa kabisaaa vitu vya kujadili ukaona hili?wanawake mnalala nao vitandani eti misikitini ndiyo muwatenge na mmekaa kwenye matumbo yao miezi 9 hiyo ni akili unaona?Matusi ya nini mkuu?! Kuna sehemu yoyote kwenye comment yangu kumeashiria udini?!
Mkuu kinachoongelewa ni utaratibu...Hivi wewe ukikuta jamaa yupo kwenye chumba za mabinti zako ili hali chumba cha wavulana kipo kisa tu kwa vile kamsindikiza rafiki wa binti zako utachukulia poa?!Tafuteni vitu vya kujadili humu kwani mmeona Mungu kasimamisha siku kwa kitendo hicho au kumetokea madhara gani??
Mnajidharirisha wenyewe kwa kumeza uislam pasipo kuuchuja sasa hilo linaathiri nini Watanzania?Waislamu tunadhalilishwa jamani
Kwa ustaarabu upi mlionao bwana mnahangaika na vitu vya kijinga kama hivi?Dini iliyostaarabika...
Astaghafuralh
Huyu mlinzi ni dini gani?
Ndiyo maana nawaambia waislam waakiafrika hamna akili mnaiga na kukariri tu hivi huu mfano unaweza kulinganisha kinachoongelewa hapa kweli?msikitini na chumbani au mabinti na wanawake watu wazima wapi na wapi huoni ni vitu viwili tofauti?mnaoa zaidi wa wanawake 4 na mnalala nao majumbani kwenu ila msikitini muwatenge mna akili kweli nyie au ujuha??Mkuu kinachoongelewa ni utaratibu...Hivi wewe ukikuta jamaa yupo kwenye chumba za mabinti zako ili hali chumba cha wavulana kipo kisa tu kwa vile kamsindikiza rafiki wa binti zako utachukulia poa?!
Hoja huwa inachangiwa au inajibiwa kwani ni swali hilo?Ahaa, sawa