Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

Ndiyo maana nawaambia waislam waakiafrika hamna akili mnaiga na kukariri tu hivi huu mfano unaweza kulinganisha kinachoongelewa hapa kweli?msikitini na chumbani au mabinti na wanawake watu wazima wapi na wapi huoni ni vitu viwili tofauti?mnaoa zaidi wa wanawake 4 na mnalala nao majumbani kwenu ila msikitini muwatenge mna akili kweli nyie au ujuha??
Wewe mkristo uislamu unaujulia wapi kama sio shobo ? upigwe na maisha ulete hasira zako hap 😀 😀
 
Hii ina nikumbusha Nabii Lema wa CHADEMA.

Kama namwona vile amevaa baibui lake na akitoroshwa boda na kuingia CANADA kwa wadhamini wake na-

"wafukuza upepo"👈🏾 maneno ya hovyo ambayo amewahi kuyasema kuhusu madereva wa pikipiki-wapiga kura.

Isingekuwa picha imeonakana kana ilivyo, walahi ningekurupuka na kusema'LEMA huyo'
 
Wewe unachoona kina Manufaa ni nini? Rais Kuwa Salama, au Mlinzi kuvaa Hijab? Kama unaona Ajabu huyo kuvaa Hijabu sababu ya ulinzi mbona usione ajabu mtu kuuawa sababu ya Usalama wa Nchi? Au sababu sio wewe umeuawa ndio mana huoni ajabu? Usiniulize nani kauawa. Mimi sio Reporter wako.😏
Mbona povu jingi chief au na ww ndo hao hao jamaa wa kuji "camouflage"...
 
Trust issues to mbona Gadaffi alilindwa na wanawake ?
 
Yeye msikitini kaenda kama muumini ama kaenda kama kiongozi wa dini?

Haya maigizo na kucheza na Imani za watu Mungu habadiriki. Kama ana Imani na Mungu wake haipo haja ya kufanya kituko hiki
Siasa ndio muasisi wa Dini,msishangae

-Rejea Roman /ottoman empire
 
Dini nyingi siku hizi zimekengeuka. Tofauti na zamani kulikuwa na msimamo. Siku hizi wanawaabudu viongozi. Wameacha kunyenyekea mbele za MUNGU.
 
Mambo ya kijasusi waachieni IDF huku kwetu maigizo mengi mno kuliko uhalisia, sasa hapo Kuna tishio Gani la kiusalama mpaka dume Zima lenye ndevu zake livae hijabu likajichanganye na wanawake tena msikitini.
 
Dini za Meri na majahazi hizi, kwani bakwata wanesemaje mpka sasa?
 
Back
Top Bottom