cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo ya kijasusi waachieni IDF huku kwetu maigizo mengi mno kuliko uhalisia, sasa hapo Kuna tishio Gani la kiusalama mpaka dume Zima lenye ndevu zake livae hijabu likajichanganye na wanawake tena msikitini.