Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

Mambo ya kijasusi waachieni IDF huku kwetu maigizo mengi mno kuliko uhalisia, sasa hapo Kuna tishio Gani la kiusalama mpaka dume Zima lenye ndevu zake livae hijabu likajichanganye na wanawake tena msikitini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni sawa ndiyomaana alikaa!!!!.
Kuna kasumba mbaya serikali kutoheshimu utaratibu wa dini ingawa dini usajiliwa na serikali labda ndo maana wanatumia ubabe
 
Back
Top Bottom