Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete ushahidi!
Kwanini??Walaumiwe wapiga picha
Kanuni za dini haziingiliani na serikaliImenishangaza sana, nadhani sababu ya kuwatenga wanawake na wanaume ni faragha.
Sasa kama vidume wanakaa sehemu za wanawake kuna maana gani?
Inashangaza!
Wewe unachoona kina Manufaa ni nini? Rais Kuwa Salama, au Mlinzi kuvaa Hijab? Kama unaona Ajabu huyo kuvaa Hijabu sababu ya ulinzi mbona usione ajabu mtu kuuawa sababu ya Usalama wa Nchi? Au sababu sio wewe umeuawa ndio mana huoni ajabu? Usiniulize nani kauawa. Mimi sio Reporter wako.[emoji57]
Hawajui wahuni hua waniingia popote hawajali kanisani au msikitiniUsalama kwanza, hayo mengine baadae