Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

Wewe unachoona kina Manufaa ni nini? Rais Kuwa Salama, au Mlinzi kuvaa Hijab? Kama unaona Ajabu huyo kuvaa Hijabu sababu ya ulinzi mbona usione ajabu mtu kuuawa sababu ya Usalama wa Nchi? Au sababu sio wewe umeuawa ndio mana huoni ajabu? Usiniulize nani kauawa. Mimi sio Reporter wako.😏
Jibu hoja mbona unaandika utumbo??
hayo maswali unamuulzia nani??

Mi mwenyewe naona ajabu
 
Mnajua kukuza mambo, huyo mwanamke
Angekuwa mwanamme angevalia kawaida ila angesimama nyuma kabisa.
Mbona kuna wanawake wenye hormone nyingi za kiume na kuwafanya wawe na ndevu etc
Aisee, umeamua kujitoa akili kabisa!
 
Hii picha ni edited, sio halisi.
downloadfile.png
 
Hivi kwa nini hakuna mtu anayezungumzia hali ya unyenyekevu wa rais na mfano wake bora kwa kuketi na watu wa kawaida katika nyumba ya kuabudia?

As much as I'm very concerned about her governance, I think what she is doing - setting an example for others in putting God first - is highly commendable.
 
Nimeona picha hiyo na kugundua huyo ni mwanamke na sio mwanaume mjadala umefungwa[emoji81]
 
Back
Top Bottom