Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

Sawa kabisa mkuu. Bora ww umenijibu kwa hoja kuliko Huyo mpuz aliyeniambia naandika utumbo. Lakini hebu Tujiulize pamoja ni kwann kama Kiongoz wa juu maybe Makamu, Au PM wakiwa hata Rais wakiwa kwenye Marathon hao Security pia wanavaa Track suits? Hata Mhe. Akienda Kwenye Harusi akaonekana Maridadi nao pia hubadilisha muonekano. So ukiona Hivyo uelewe pia huyo Bwana kwa umuhimu wake na Nafasi ingekuwa ni lazma aingie huo upande wa pili wa msikiti. Lakin ili asiondoe conduct na atmosphere ya Ibada ndio ikabidi avae ivyo. Lakin kama angevaa kiume ingeweza kuondoa utulivu kwa kuwa Wote wanajua upande huo hawawez kuingia wanaume.
So imefanyika ivyo kwa ajili ya waumini wengne kama kujali zaidi utulivu na uzingatiaji wa ibada husika.
Hii ni security breach,kwa kanuni za ulinzi duniani hatukupaswa kubaini kuwa huyu ni mwanaume ,na hawakujipanga ishu sio kuvaa hijabu ishu ni Siri na protocol walizingatia Nini kwenye hijabu/ Dera Wakati Kuna walinzi wakike wengi tuu,kiufupi wanawake wote hapo wamebaini kuwa rais ameingia na mlinzi wa kiume aliyevaa Dera
 
Kuna ubaya gani? Akirudi kwake anaambiwa pole baba kwa kazi.
Nzito
Anaeka Ugali maisha yanaenda
Kumbe anavaa ushungi huko.
 
20240617_182437.jpg


20240617_182440.jpg
 
Ina maana Allah hawezi kumlinda raisi wake , hii 👆 kiimani imekaaje, ?
Ndio maana tunasema Imani ni udanganyifu na upotoshaji Kwa wanadamu
 
Kanuni za dini haziingiliani na serikali


Zinavunjwa tu

Hayo masuala ya taratibu za imani zenu pelekeni huko misikitini au makanisani kwenu

kudadeki
Yeye msikitini kaenda kama muumini ama kaenda kama kiongozi wa dini?

Haya maigizo na kucheza na Imani za watu Mungu habadiriki. Kama ana Imani na Mungu wake haipo haja ya kufanya kituko hiki
 
Back
Top Bottom