Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

mwanaume kazini
Huyu hapa bwana Aziz
20240617_185916.jpg
 
Ni hayo machache yameonekana/madafu na juba.Vipi mengine mengi ya msingi?Hii ni dunia imejaa vingi visivyooneshwa na kuonekana kwa urahisi.Vamos!
 
Ulinzi wa Rais sio swala la mzaha ,sijui dhambi sijui nini wataenda kujibu mbinguni… ULIPO TUPO.
 
Hahahahahahaa mtoa mada tumbo tumbo linanjaa anatetea ugali wa familia yake..sema alisahau angepgilia miwani kubwa nyeusi tii
Mazingira tu hayo
 
Imenishangaza sana, nadhani sababu ya kuwatenga wanawake na wanaume ni faragha.

Sasa kama vidume wanakaa sehemu za wanawake kuna maana gani?
View attachment 3019543
Inashangaza!
ulinzi wa Rais hauna miiko hauna ustaarabu wala utaratibu.Every scene is a potential threat!Kwahyo sio tu msikitini popote pale jamaa wanaweza kuDISGUISE just for the security
 
Back
Top Bottom