Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

Hivi hili limekaaje wakuu, Kuna shidahiyo picha kusambazwa? Je kwenye msafara wa Rais kama huo ni nai ambao wanapewa vibali vya kupiga na kusamabza picha?
Shida wanaopiga wanakosa umakini wa kurekebisha kasoro ndogo kabla ya kupeleka public.
Sasa ikishafika kwetu, ni kama VAR tunachunguza kila kitu.
Hukuona taarifa ya uteuzi kutokea ikulu juzi kati ilikuwa na makosa ya uandishi ambayo hata form 2 angeyabaini!
 
Wewe unachoona kina Manufaa ni nini? Rais Kuwa Salama, au Mlinzi kuvaa Hijab? Kama unaona Ajabu huyo kuvaa Hijabu sababu ya ulinzi mbona usione ajabu mtu kuuawa sababu ya Usalama wa Nchi? Au sababu sio wewe umeuawa ndio mana huoni ajabu? Usiniulize nani kauawa. Mimi sio Reporter wako.😏
Kulikuwa na haja gani yakuvaa hijabu kiulinzi na kujulikana kama sio jinsia ke,hapo kiusalama sio hata iyo mbinu sio rafiki wanafeli walinza na muuza madafu kumbe sio security sio ishu yakuchkulia poapoa ujue
 
Kulikuwa na haja gani yakuvaa hijabu kiulinzi na kujulikana kama sio jinsia ke,hapo kiusalama sio hata iyo mbinu sio rafiki wanafeli walinza na muuza madafu kumbe sio security sio ishu yakuchkulia poapoa ujue
Sawa kabisa mkuu. Bora ww umenijibu kwa hoja kuliko Huyo mpuz aliyeniambia naandika utumbo. Lakini hebu Tujiulize pamoja ni kwann kama Kiongoz wa juu maybe Makamu, Au PM wakiwa hata Rais wakiwa kwenye Marathon hao Security pia wanavaa Track suits? Hata Mhe. Akienda Kwenye Harusi akaonekana Maridadi nao pia hubadilisha muonekano. So ukiona Hivyo uelewe pia huyo Bwana kwa umuhimu wake na Nafasi ingekuwa ni lazma aingie huo upande wa pili wa msikiti. Lakin ili asiondoe conduct na atmosphere ya Ibada ndio ikabidi avae ivyo. Lakin kama angevaa kiume ingeweza kuondoa utulivu kwa kuwa Wote wanajua upande huo hawawez kuingia wanaume.
So imefanyika ivyo kwa ajili ya waumini wengne kama kujali zaidi utulivu na uzingatiaji wa ibada husika.
 
Back
Top Bottom