Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Acha upumbavu. Jibu swali.Magufuli bado ni Rais, ulitaka alindwe na Red brigade ya Ufipa ?
Hapo pa magari... Hapana, chuma zile zina wrap ya Chama.. Ni Mali ya JMT, sio Chama. Kuna utumiaji usio sahihi wa rasilimali za Umma kwenye kinyang'anyiro.Kwa sasa magufuli ni mgombea lakini itifaki zingine kama rais znabaki palepale. Kwahyo kinachofanyika ni kama wale walinzi wanaazimwa na ccm kwani wao kama chama hawana watu wenye uwezo wa kumlinda 'rais' mfano hawawezi kutumia green guard kwan uwezo wao ni mdogo. Hivyo wale wameazimwa na chama kutoka serikalini na chama ndo hupaswa kuwagharamia angalia hata magari anayotumia ni ya chama(kwa muonekano wa rangi zake)
Nimelipenda swali!Kwani TISS vazi Lao rasmi ni Rangi ipi?
Kwanza ungejiuliza why nguo ya jeshi ina mabaka mabaka na inafanana na msitu? Ukisha pata majibu basi ujuwe hata hivyo unawaona wanakuwa kiusalama zaidi wakiamua kumficha Rais hapo ningumu kumpata why they have same colour.Habarini Wakuu
Kuna jambo linanitatiza sana sana yani. Katika kampeni zilizoanza za Rais John Magufuli, amekuwa akionekana jukwaani na popote akiwa na walinzi waliovalia sare za kijani yaani CCM. Wale jamaa ni wa kitengo kabisa na hawapaswi kuwa na chama chochote kwani TISS ni chombo huru na hakipaswi ku-align kwenye chama chochote cha siasa. Sasa zile uniforms za kijani, nani kaziruhusu?
Najua humu kuna wanasheria na wadau wa ngazi za juu serikalini, naomba tusaidiane. Maana mimi naliona jambo la hatari sana hapa!
View attachment 1557686View attachment 1557690
Hao hawana vazi maalum (uniform) mwenye vazi maalum nadhani umemuona nyuma ya muheshimiwa, ivyo walivyovaa ni Sawa tu.Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
Huo sio usalama wa taifa ni usalama wa CCM.Katiba inakataza watumishi wa umma kujihusisha na shughuli za vyama vya siasa, hasa majeshi kwa namna yoyote ile. Kuvaa sare ya chama cha siasa ni dhahiri kuwa una mahaba na chama husika.
Liko wazi kuwa katiba yetu ina mapungufu juu ya Urais mara bunge linapovunjwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu, kwani Rais anaendelea mpaka mwingine atakapoapishwa.
Kama kifungu ndio kinafuatwa, kwa nini hao walinzi wa Rais wavae ki-CCM wakati wana sare zao rasmi? Hivi na walinzi wa wagombea wengine nao wanavaa sare za vyama vile? Nimeuliza hivi kwani hawa wa Rais sura zao na maumbile yao ya muonekano wa mwili kwa nje yanafahamika.
View attachment 1573060
View attachment 1573063
Je, hapa chini kwa Lissu kuna TISS?
View attachment 1573065
View attachment 1573074