Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji hawaiwezi


Ongezea mpoki

Muongea ujinga ujinga
 
Kuna watu wana wivu sana
 
Katika utajirike haichekeshi wala nini
 
Sasa mpaka mmewafahamu hivyo bado mnadhani hawawezi?

Sio kwamba wasioweza wapo na wameshindwa kujulikana ndio maana hamuwajui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…