yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,898
Watanzania unafiki ni sehemu ya maisha yetu. Nadhani ni sababu mojawapo kwa nini hatuendelei.
Pamoja na hilo kuna watu tusiojua kabisa kuhusu unafiki, we call a spade a spade, white colour white.
Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji sio hawaiwezi.
1. Idrissa.
2. Blackpussy.
3. Oka Martin.
4. Mkali wenu.
5. Dulvan.
6. Mc Pilipili.
7. Jaymond.
8. Katarina wa Karatu.
9. Ebitoke.
Hawa watu hawajui kabisa kuchekesha. Yani hawajui na hawajui kama hawajui. Wanatumia nguvu nyingi mno.
Hakuna kazi rahisi kama kuchekesha binadam. Kitu pekee ambacho binadam anaweza kukifanya na kwa haraka bila gharama yoyote ni kucheka.
Kazi zipo nyingi za kufanya, watafte kazi nyingine. Steve Nyerere tulimwambia mapema akasikia akatafta kazi nyingine ya kufanya.
Namba 5-9 ni updates toka kwa wadau.
Ongezea mpoki
Muongea ujinga ujinga