Mlio karibu na Tundu Lissu mumkanye aache mara moja kuropoka ropoka!

Sentensi nyingi lakini hoja wapi. Rushubenyuma.
 
Yaani umesimuliwa kuwa anaropoka na wewe unakurupuka na kudakia hicho kiitikio cha kwamba anaropoka.
Hebu lete yoyote kati ya statements alizowahi kuzitoa Lissu utwambia sehemu ambayo ameropoka!?
Badala yake mimi naona wewe ndiyo umekurupuka na kuanza kuropoka vitu ulivyolishwa na wasiopenda kuambiwa ukweli.
Unajifanya kuchambua sheria na Katiba ndiyo unazidi kujidhihirisha ulivyo empty set kichwani. Yaani Katibba mbovu inawezaje ikakupatia sheria imara? Hizo sheria zitalindwa na Katiba ipi? Taasisi zipi?
Kuna Watu yaani mpompo tu kama Moshi wa takataka.
 
Nenda na wewe ukalambwe risasi ndio uje uongee. Mnaongea Sana mkiwa kwenye keyboard baada ya kushiba ugali. Punguza unafiki.
 
Ujuaji na arrogance za kijinga kupita maelezo.

Nani amewahi kuwa Rais wa nchi hii ni presidential material zaid ya bla bla zako hapa

Kuna unalolijua kuhusu uhifadhi zaid ya hizo hadithi zako za alfulela ulela.
Aliekwambia kukosoa lazima utoe mbadala ni nani? Serikali haina wataalamu?

Mbadala wa hayo matatizo ni CCM kutoka madarakani.

Kuhusu NCAs aliwambia kuhamisha wamasai ilikuwa sulujisho nani?
Pressure ya conservation ipo NCA pekee?
Unaijua vizur hustoria ya NCA?

Punguza mihemko .
 
Wewe hapa umefanya nini kama sio kuropoka, pumbavu
 
Punguza makasiriko
Wewe mmoja huwezi kutufanya wewe ndio mwenye uelewa kuliko WaTz wote.
Usitukeleleshe na kutujazia server.

Weee ndio mropokaji
How about that?

Lissu kanyaga twende achana na wanywa vimpumu

Thread ndeeeefu upulusi mtupu
 
Punguza makasiriko
Wewe mmoja huwezi kutufanya wewe ndio mwenye uelewa kuliko WaTz wote.
Usitukeleleshe na kutujazia server.

Weee ndio mropokaji
How about that?

Lissu kanyaga twende achana na wanywa vimpumu

Thread ndeeeefu upulusi mtupu
Ha ha yeye ndio mropokaji
How about that
Nimependa hapo.

Kimsingi Lissu kawavuruga na wamevurugika
 
Umeliweka vizuri sana,
 
Kwani iwe Ngorongoro na isifanyike Serengeti,Burigi,Same,Tarangire,Mikumi,Katavi,Ruaha na sehemu nyingine zenye hifadhi?
 
Rais siyo kazi lele mama na kulia jukwaani, kama huwezi kazi unaacha. Ukiona misukosuko kama ya Lisu inakushinda basi kazi huiwezi
 
Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe like stupid idiot..

Lini Tundu Lissu kakuambia anataka kuwa Rais wa nchi hii kiasi cha kusema "he's not presidential material?".

As far as I know Tundu Lissu, ni kuwa, kwa ujumla wake jamaa [Tundu Lissu]ni mwanasheria mbobezi, mwanaharakati na mpigania haki za binadamu na mzalendo kwelikweli wa nchi hii ya Tanganyika kuliko wewe Rutashubanyuma ambaye kiuhalusia kupitia maandishi yako haya yanaonesha kuwa uelewa na ufahamu wako wa mambo uko chini ya wastani na inaonesha unapigania tumbo lako tu (ubinafsi).!!

Watu wa namna ya Tundu Lissu huusema uovu wa watawala straight bila kupepesa macho wala kumung'unya maneno au kuupaka paka rangi na huwa wako tayari kwa lolote. Watu wa namna wako kote duniani na ktk kila nchi...

Kwa watawala waovu kwao watu wa namna hii huwaita ni "watu wanaozungumza bila staha" na pengine watukanaji. Yaani kwao wakiiba au wakisaini mikataba ya kitapeli na kifisadi kama wa DP World na bandari zetu, basi useme "kula kwa urefu wa kamba" na usiwaite mafisadi, au wezi maana kwao huko ni kuwatukana..!!
 
Bandari?
 
Bora uyo kuliko mchambaji bhana doh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…