Mlio katika ndoa poleni, mnagongewa sana

Halafu unakuta huyo mvuvi nae anagongewa mkewe na muuza supu
 
Kwanini kijana wa bajaj alioa single maza?
Tuanze hapo kwanza.

#YNWA
 
Mama D,
Hebu muulize "ILIKUAJE AKAOA SINGLE MAZA??""

#YNWA
 
Mama D,
Hebu muulize "ILIKUAJE AKAOA SINGLE MAZA??""

#YNWA

Hilo swali sitamuuliza maana amechagua anachofanana nacho na kinachompendeza moyo na macho.

Swala la u single wapo waoaji wengi wanaoa single mothers wenye watoto hai na wengine wasio hai, na ndivyo ilivyo kwa waoaji wengi ni single fathers tena kwa watoto waliowakana na kuwakataa
 
Acheni kutuweka roho juu bana...
 
Yani maisha ni ya ajabu sana yani mtu unakuta unakula mke wa mtu alafu na watu wanakula mke wako.
kiufupi mtu ka hana hofu ya Mungu ni sawa na mtu kujaribu kukinga maji kwa gunia
 

Kwani mwenyezi Mungu hatarudi tena mkuu?[emoji39]
 
Sasa umemuona mmoja tu unaleta uzi hapa eti wanandoa wanagongewa we vipi, tuambie umeona kadha wa kadha huyu, yule, huyo na hao sio mmoja tu unakuja kuwatisha watu, kwa hiyo lengo lako nini au unataka wafanyaje?
 
Mpaka mwanamke anafikia stage ya kukubali kuw amke wa mtu inakuaje anakubali kuchezewa hekalu lake?

Kwangu naamini mwanamke aliyeolewa no matter what anapitia katika ndoa yake hapaswi kuchepuka. Biblia haiwasahii kunguni kabisa wanaume. Ni wanawake tu. Ni vyema tukajitambua thamani zetu. Na kama ndoa imeshindikana basi achaneni rasmi. Mwanamke mwili wako ni hekalu. Ilinde.
 
Hapo ni
Ukerewe au Musoma
 
Ni mawazo ya kitoto tu..

Hayo mambo yalikuepo tangu zamani, hata mama yako amegongwa sana na wanaume tofauti na baba yako na yawezekana mpaka huyo unayemwita baba yako sio baba yako.

Najua umeukuta msemo usemao kitanda hakizai haramu.. waliyajua haya. Ila kwakuwa ww ni mtoto ndio maana unashangaa leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…