ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
wanapatikana wapi hawa waoga wa Mungu? bado wapo? sidhani....TAFUTA HELAAnhaa!....Ila ukioa mwanamke ambaye hana hofu ya Mungu basi ni rahisi mno Kuumia kila kukicha mkuu
Kama mwanamke wa kwanza(Hawa) ambaye ni mama wa wanawake na viumbe wote jamii ya wanadamu kadanganywa unafikiri hawa wengine itakuaje mkuu???
Kikubwa awe na hofu ya Mungu la sivyo lolote linaweza kutokea safarini
Hofu ya Mungu...wanagongwa tuAnhaa!....Ila ukioa mwanamke ambaye hana hofu ya Mungu basi ni rahisi mno Kuumia kila kukicha mkuu
Kama mwanamke wa kwanza(Hawa) ambaye ni mama wa wanawake na viumbe wote jamii ya wanadamu kadanganywa unafikiri hawa wengine itakuaje mkuu???
Kikubwa awe na hofu ya Mungu la sivyo lolote linaweza kutokea safarini
ili mradi kila mmoja afaidi neema ya dunia Hiyo ni nature kwenye ubora wake.Duniani kuna fujo sana....
Ndoa ni mkataba wa rohoni, binadamu huwezi kumchunga wala kumrekebisha. Kikubwa ni kwenda na Mungu wako kwenye haya maamuzi na kufanya yanayostahili
Hapo utakuta dereva bajaji anayeongewa mkewe na mvuvi nae anagongana na mke wa mwenye bajaji, halafu unakuta mvuvi nae anagongewa mkewe na kondakta kondakta nae anagongewa na bodaboda
Kwa Mamlaka niliyopewa naufunga huu uzi.Thread ifungwe, wewe umemaliza kila kitu mkuu
Wewe jamaa ni mtu wa ajabu sana, yaani ulichokiona kwa mtu mmoja umekitumia kuhukumu Wanawake wote?. Kwenye taratibu za research huwa kuna ishu ya Sample space na Replication,ndio watu huwezi kusema chochote lkn sio kwa kukutumia tu mmoja.Hakuna watu rahisi kulana kama wanandoa, yaani nimeshuhudia kwa macho yangu kabisa mke wa mtu ana watoto wawili na tena alikuwaga single mother akaolewa na mumewe ni dereva wa bajaji wakapata mtoto sasa jana nimeona akitoka guest house na jamaa fulani mvuvi wa samaki imeniuma sana kwa kweli nawapa pole mliooa mnapigiwa sana.
Mnisamehe kama nimekosea kusema haya ila kwa kweli kama mkeo hana tabia hio basi hongera kwa familia zenu ila huo ndo ukweli wenyewe mimi ni shahidi kabisa.
Cha msingi aje ameiosha tu basiKaka hata wewe uliowagonga kwasasa ni wake za watu hivyo kumbuka kugongewa ni jambo la kawaida kikubwa awe anarudi nyumbani na anaemgonga usimjue hapo utaoana anakuheshimu.
Ndio maana hata huyo uliemuona mumewe hamjui hao wanapendana na huyo mwanamke anamuheshimu Mumewe.
Imeisha hiyo
Kama unaogopa kugongewa basi USIOE bro, otherwise utakufa kwa presha siku sio zako.Hakuna watu rahisi kulana kama wanandoa, yaani nimeshuhudia kwa macho yangu kabisa mke wa mtu ana watoto wawili na tena alikuwaga single mother akaolewa na mumewe ni dereva wa bajaji wakapata mtoto sasa jana nimeona akitoka guest house na jamaa fulani mvuvi wa samaki imeniuma sana kwa kweli nawapa pole mliooa mnapigiwa sana.
Mnisamehe kama nimekosea kusema haya ila kwa kweli kama mkeo hana tabia hio basi hongera kwa familia zenu ila huo ndo ukweli wenyewe mimi ni shahidi kabisa.
Hapo ndio walishakosa akiliMwanamke ni kiumbe dhaifu kimwili, kiakili na kifkira.
Ukimtania yeye tayari ashahisi vingine
ukimsaidia tayari ashahisi vingine
Ukimsalimia kila siku tayari ashahisi vingine
ukimwangalia tayari ashahisi
Sio hawa tu hii ni toka wale wanawake waliokuwepo toka enzi za Eva, kabla ya ukoloni na baada ya ukoloni kwa hiyo ni nature yao tu, hakuna wa kubadilisha hili swala, tutaondoka duniani watakuja wengine watalalamika hivi hivi ila jibu halitapatikana hadi mwenyezi Mungu aamue vinginevyo
Wavulana wasijifariji maana hawana pesa za kutunza tusichana tuko kwenye umri wa show off matokeo yake wanaume wanawakula kwa vile wanapesa japo za kuwapa wakanunue kipstikUsisahau kwamba hawa tunaojiongopea kwamba ndio madem zetu wa ndoto wanaliwa Sana na waume za watu kwahiyo tisijiongopee
Wanawake wanajikuta wanachepuka kwa dhiki tu,
kinachofurahisha wao Kuna umri ukifika hataki tena hiyo mitusi tofauti na sisi wanaume
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]yani maisha ni ya ajabu sana yani mtu unakuta unakula mke wa mtu alafu na watu wanakula mke wako.
kiufupi mtu ka hana hofu ya Mungu ni sawa na mtu kujaribu kukinga maji kwa gunia
Hadithi za kwenye biblia na uhalisia wa maisha ya duniani ni vitu viwili tofautiMpaka mwanamke anafikia stage ya kukubali kuw amke wa mtu inakuaje anakubali kuchezewa hekalu lake?
Kwangu naamini mwanamke aliyeolewa no matter what anapitia katika ndoa yake hapaswi kuchepuka. Biblia haiwasahii kunguni kabisa wanaume. Ni wanawake tu. Ni vyema tukajitambua thamani zetu. Na kama ndoa imeshindikana basi achaneni rasmi. Mwanamke mwili wako ni hekalu. Ilinde.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ni mawazo ya kitoto tu..
Hayo mambo yalikuepo tangu zamani, hata mama yako amegongwa sana na wanaume tofauti na baba yako na yawezekana mpaka huyo unayemwita baba yako sio baba yako.
Najua umeukuta msemo usemao kitanda hakizai haramu.. waliyajua haya. Ila kwakuwa ww ni mtoto ndio maana unashangaa leo.
Hilo najisemea mimi mkuu. Najilindia utu wangu. Ninazo dhambi kibao. Ila hii ua hivi naikataa kwa nguvu zangu zote.Hadithi za kwenye biblia na uhalisia wa maisha ya duniani ni vitu viwili tofauti
Guest ni sehemu ya kupigiana miti ayo mengine ni nyongeza tuKutoka guest house haimaanishi walikua wanapigana miti
Hiyo chain ni hatari na hapo HIV itasambaa km moto nyikani..Duniani kuna fujo sana....
Ndoa ni mkataba wa rohoni, binadamu huwezi kumchunga wala kumrekebisha. Kikubwa ni kwenda na Mungu wako kwenye haya maamuzi na kufanya yanayostahili
Hapo utakuta dereva bajaji anayeongewa mkewe na mvuvi nae anagongana na mke wa mwenye bajaji, halafu unakuta mvuvi nae anagongewa mkewe na kondakta kondakta nae anagongewa na bodaboda
Hiyo chain ni hatari na hapo HIV itasambaa km moto nyikani..