Mlio katika ndoa poleni, mnagongewa sana

wacha maneno wewee, wote mnasemaga hivi hivi
 
Mmoja ni mlokole tena msomi sana tu lakini anagongwa sana. Nilipokuja kujua kama wanamvua picchu pamoja na kuwa ni mke wa NTU halafu mlokole kwenye kanisa lao β€œAnaheshimika sana” nilipigwa na bumbuwazi.
Hofu ya Mungu...wanagongwa tu
 
N
Naona umeamua kumsagia kunguni.
 
Form six mnatabu
Hivi hujapangwa JKT au muda wa kwenda bado??
 
Acha wivu wewe mbona wewe unawanyandua wake za watu
 
wanapatikana wapi hawa waoga wa Mungu? bado wapo? sidhani....TAFUTA HELA
Wapo mkuu, bahati mbaya sana unakutanishwa na yule mwenye Tabia kama yako[emoji23]

Pesa inaweza ikawepo ila mwanamke akaitumia pesa yako unayoitafuta kumhonga Jamaa mmoja uliye mzidi pesa

Kikubwa hofu ya Mungu tu na hakika wapo sema hujakutana nao mkuu [emoji23][emoji23]
 
Ukiwaza kugongewa, hautaoa. We tafuta pesa, waza kile unachoweza kuki control, vingine achana navyo,
Hii ndio point. Dela with what u can control. Mbususu ya mke ninyake na huwezi control kama vile yeye mke hawezi control mgegedo wako.
Cha msingi tuu usimfumanie. Ukimbamba hapo hamna maongezi ni full kumtimua unaingiza pisi kali nyingine.
 
Mwanamke mwenye hofu ya Mungu anapatikana wapi maana wengi naowaona wana hofu ni wale ambao hawana mbele wala nyuma πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… no chura no flex
 
YESU peke yake ndie hajagongewa...
Sisi wengine kugongewa ni suna jambo la kawaida tu... Ukigongewa na wewe unaenda kugonga vya nje maisha yanaenda... Wivu na presha mambo ya kizamani
 
Mwanamke mwenye hofu ya Mungu anapatikana wapi maana wengi naowaona wana hofu ni wale ambao hawana mbele wala nyuma πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… no chura no flex
Wapo kiongozi sema sasa kwa kutuliza kichwa na ukimpata usianze kumpekua sana maana mwishowe unachokitafuta kwa kumpekua utakipata tu kikubwa muamini halafu ishi tu sio kuanza kupekuana sana πŸ˜‚
 
Mkuu kwani ndoa ndio kinga ya kutochepuka? umesahau ya kuwa katika ulimwengu wa sasa upendo n gharama kubwa sana kuliko ngono ?

Tunahamasishwa sana kufanya ngono kutokana mazingira halisi lakini sio lazima

Kaka hapo suala sio wanandoa bali ni binadamu kwa ujumla tu tumekuwa tukizidiwa tamaa zetu tu.....

Kikubwa ni kufanya juhudi ya kudhibiti madhaifu binafsi tu ....
 
Wapo kiongozi sema sasa kwa kutuliza kichwa na ukimpata usianze kumpekua sana maana mwishowe unachokitafuta kwa kumpekua utakipata tu kikubwa muamini halafu ishi tu sio kuanza kupekuana sana πŸ˜‚
Demu anapigiwa na madume kila saa mbele yako huo ujasiri wa kuacha kumpekua unautoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…